Introverted
Member
- Oct 25, 2022
- 14
- 19
Umeweka kinga hapo?Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizur lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya kupika nlikua nazunguka kuchukua oder,usafi nilizingatia sana ila suala ambalo lilikuja kuniangusha nahisi ni kwenye bei maana chakula tulikua tunauza 1500/= ndo bei za huku baada ya mwezi ilibidi ugali niuze sh 2000 kutogana na gharama ambazo tulikua tunazitumia kwenye mboga, tangu tupandishe bei ya ugali mambo yamebadilika watu hawaji kula chakula kinabaki cha kutosha wale wateja nliokua nawafata wamerudi kwa watu wao walipokua wanakula zamani maana hapa nimezungukwa na mama ntilie kama watatu hivi, chakula kinabaki kingi inabidi niwe nakopa naongezea kwenye biashara ila madeni yanazidi kuongezeka nimekata tamaa na hii biashara ya chakula na hata nkisema niache! Sijui nifanye nn jamani ni wiki mbili kila siku wali unabaki kama kilo mbili na ugali unakuta inabaki kama sahani saba hivi nisaidieni binti yenu jamani
Umenikumbusha, Nanukuu maelezo ya mdau: Inasemekana, kuwa biashara za Baa/vinywaji (Pombe/Bia) - Hii ni kanuni namba moja. "Weka warembo na wabadilishe kila baada ya muda fulni." hakika biashara yako itakuwa kwa kasiHuenda wateja hawakufuata chakula bali walikufuata wewe. Walivyoona 'hucheki na kima',
Shusha bei upate faida kidogo wakati unajipanga.. Biashara ya chakula ina changamoto sanaMimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya kupika nlikua nazunguka kuchukua oder.
Usafi nilizingatia sana ila suala ambalo lilikuja kuniangusha nahisi ni kwenye bei maana chakula tulikua tunauza 1500/= ndiyo bei za huku baada ya mwezi ilibidi ugali niuze sh 2000 kutogana na gharama ambazo tulikua tunazitumia kwenye mboga, tangu tupandishe bei ya ugali mambo yamebadilika watu hawaji kula chakula kinabaki cha kutosha wale wateja nliokua nawafata wamerudi kwa watu wao walipokua wanakula zamani maana hapa nimezungukwa na mama ntilie kama watatu hivi.
Chakula kinabaki kingi inabidi niwe nakopa naongezea kwenye biashara ila madeni yanazidi kuongezeka nimekata tamaa na hii biashara ya chakula na hata nkisema niache!
Sijui nifanye nn jamani ni wiki mbili kila siku wali unabaki kama kilo mbili na ugali unakuta inabaki kama sahani saba hivi nisaidieni binti yenu jamani.
Weee Mshana Jr si umwambie ukweli wewe mzee wa matunguri? Bila ulozi au kuwa na nguvu za Mungu wa walokole hufanyi biashara!Shusha bei upate faida kidogo wakati unajipanga.. Biashara ya chakula ina changamoto sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana huko atapotea mazima.. Mchawi bei hapo.. Watu wa uswazi hawataki ubora wanataka wingi kwa bei kitonga.. Ugali mboga 3 wanataka kwa buku jero.. Akishusha bei watarudi woteWeee Mshana Jr si umwambie ukweli wewe mzee wa matunguri? Bila ulozi au kuwa na nguvu za Mungu wa walokole hufanyi biashara!
Kama wewe ni dini nyingine zaidi ya ulokole nenda kwa waganga ukaloge! Kama ulikuwa unabeza ulokole ujue kule kuomba na kukemea kwa Jina la Yesu na damu ya Yesu kabla na baada ya biashara katika maeneo yote ya ardhi na mipaka ya biashara na wateja na vyombo vya biashara, na sahani na maji (yaani kila kitu) kukisafisha na kukitakasa kwa damu ya Yesu (of course mambo ni mengi ya kujifunza katika kuomba) ndo mlango wa kufanya biashara ukaona wateja, pesa zako zisiibiwe na wachawi wa chuma ulete, uepushwe na mabalaa ya nuksi na mikosi itakayopelekea faida kwenda huko kama magonjwa, misiba, huruma za kijinga kama kukopesha, kukopwa, michango ya harusi na makusanyiko ya kijinga sijui jumuia, vikoba! Kwa ufupi kuwa ng'ang'ari achana na makanisa uchwara ya eti toa zaka, sadaka (hawa ni matapeli). Hata hivyo kutoa sadaka ni muhimu ili Mungu aendelee kuilinda biashara lakini changamoto unatoa sadaka katika madhabahu hipi? maana makanisa na watu wanaojiita watumishi wa Mungu ni mapandikizi ya shetani hata ukiwapa sadaka unajenga ufalme wa shetani. Nakusaidia nikupe madhabahu moja ambayo imenisaidia mimi (Mwalimu Christopher Mwakasege) kupitia namba za tigopesa/mpesa unaweza kujifungamanisha na hii madhabahu ni nzuri (uliza moyo wako ukiona una amani toa hapa) ni mahali sahihi utamuona Mungu. Acha mambo ya kuomba kijingakijinga kama walokole mapandikizi ya shetani kuwa kero kwa waliokuzunguka. Omba kisirisiri katika maeneo ambayo watu hawakuoni au hawajui kama unaomba hata ikibidi (mkeo/mmeo) hasijue kwasababu kikulacho kiko nguoni mwako, nk., n.k, Nimejitahidi kuandika haya kwasababu nimeona unahitaji msaada na mimi nilipitia hapa! Mengine omba Roho mtakatifu yuko karibu atakusaidia! Mwisho! Hamua moja kufuata uchawi au kuokoka nje ya hapo sahau kufanikiwa katika jambo lolote liwe kazini, shuleni, ndoa, mahusiano yako na hapo ndani ya familia, mtaani, biashara n.kMimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya kupika nlikua nazunguka kuchukua oder.
Usafi nilizingatia sana ila suala ambalo lilikuja kuniangusha nahisi ni kwenye bei maana chakula tulikua tunauza 1500/= ndiyo bei za huku baada ya mwezi ilibidi ugali niuze sh 2000 kutogana na gharama ambazo tulikua tunazitumia kwenye mboga, tangu tupandishe bei ya ugali mambo yamebadilika watu hawaji kula chakula kinabaki cha kutosha wale wateja nliokua nawafata wamerudi kwa watu wao walipokua wanakula zamani maana hapa nimezungukwa na mama ntilie kama watatu hivi.
Chakula kinabaki kingi inabidi niwe nakopa naongezea kwenye biashara ila madeni yanazidi kuongezeka nimekata tamaa na hii biashara ya chakula na hata nkisema niache!
Sijui nifanye nn jamani ni wiki mbili kila siku wali unabaki kama kilo mbili na ugali unakuta inabaki kama sahani saba hivi nisaidieni binti yenu jamani.
HapanaUmeweka kinga hapo?
Ashushe bei hivyo vitu kaviokota? Lazima auze bei ya soko! Of course na akili ya biashara lazima ifanyekazi! Mungu anasema kuweni na maharifa "umetakataa maarifa mimi nami nimekukataa". Ukitaka kufanya biasha pia lazima huwe na maharifa juu ya sehemu hipi ufanye biashara ya aina gani? Wewe unafanyabiasha katika jamii ya watu masikini wa pwani unategemea kutoboa? Nenda mbezi mwisho tafuta kisehemu (bure) anza kuuza hivyo vyakula. Hakuna kodi cha muhimu ni mahali pa kuifandhia hivyo vifaa vyako ndo utalipiaHapana huko atapotea mazima.. Mchawi bei hapo.. Watu wa uswazi hawataki ubora wanataka wingi kwa bei kitonga.. Ugali mboga 3 wanataka kwa buku jero.. Akishusha bei watarudi wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Lesson: badiliko la bei, badiliko la maokotoMimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya kupika nlikua nazunguka kuchukua oder.
Usafi nilizingatia sana ila suala ambalo lilikuja kuniangusha nahisi ni kwenye bei maana chakula tulikua tunauza 1500/= ndiyo bei za huku baada ya mwezi ilibidi ugali niuze sh 2000 kutogana na gharama ambazo tulikua tunazitumia kwenye mboga, tangu tupandishe bei ya ugali mambo yamebadilika watu hawaji kula chakula kinabaki cha kutosha wale wateja nliokua nawafata wamerudi kwa watu wao walipokLesua wanakula zamani maana hapa nimezungukwa na mama ntilie kama watatu hivi.
Chakula kinabaki kingi inabidi niwe nakopa naongezea kwenye biashara ila madeni yanazidi kuongezeka nimekata tamaa na hii biashara ya chakula na hata nkisema niache!
Sijui nifanye nn jamani ni wiki mbili kila siku wali unabaki kama kilo mbili na ugali unakuta inabaki kama sahani saba hivi nisaidieni binti yenu jamani.
Sijasema atoe bure nimesema ashushe bei.. Nimekwambia uswazi hawataki ubora (quality) wanataka wingi (quantity)Ashushe bei hivyo vitu kaviokota? Lazima auze bei ya soko! Of course na akili ya biashara lazima ifanyekazi! Mungu anasema kuweni na maharifa "umetakataa maarifa mimi nami nimekukataa". Ukitaka kufanya biasha pia lazima huwe na maharifa juu ya sehemu hipi ufanye biashara ya aina gani? Wewe unafanyabiasha katika jamii ya watu masikini wa pwani unategemea kutoboa? Nenda mbezi mwisho tafuta kisehemu (bure) anza kuuza hivyo vyakula. Hakuna kodi cha muhimu ni mahali pa kuifandhia hivyo vifaa vyako ndo utalipia