Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Kwanini hujaweka details vizuri hasa attachment ya pichaHABARI NDUGU ZANGU,LEO NIEANZA ZOEZI LA KUPANDISHA MIZINGA YANGU.
Kwanini hujaweka details vizuri hasa attachment ya pichaHABARI NDUGU ZANGU,LEO NIEANZA ZOEZI LA KUPANDISHA MIZINGA YANGU.
Safari hii mavuno yameendaje mkuu na changamoto zilizojitokezaNILIFANIKIWA KWENDA KUVUNA LAKINI NIMEAMBULIA LITA 30 TU KTK MIZINGA KARIBU 100.NYUKI WAMEKUNYWA ASALI YOTE TULICHELEWA KUVUNA.INAONEKANA KWA URAMBO HIYO NI CHANGAMOTO KWA WAFUGANYUKI WENGI MWAKA HUU.ILITOKEA MABADILIKO YA GHAFLA YA HALI YA HEWA KWA KUWA NA UPEPO MKALI NA BARIDI ILIYOPELEKEA MSHITUKO KWA NYUKI.MAPAMBANO YANAENDELEA NASUBIRI MWEZI WA KUMI TENA