hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 171
- 111
Kwa wale wenye hamu ya ufugaji Bata wa kienyeji au wakuitwa Bata wachafu vitu muhimu vya kuzingatia ili uweze kuwa mfugaji mkubwa na mwenye uwezo wa kuvuna pesa nyingi.
Vifuatavyo vitu muhimu Kwa anae taka kufuga Bata wa kienyeji nyumbani kwake.
1. Eneo kubwa lenye uzio: Uwe na eneo kubwa lenye uzio mzuri wa kuzuia Bata wako kutoka toka nje na kusumbua majirani hasa kunyakunya na kula vyakula. Ukubwa wa eneo ni muhimu kwa sababu uzao ukiongezeka utazidi kufuga kiwepesi.
2.b Bwawa la kuogelea: Bata wanapenda maji ni vizuri ukawa wekea bwawa ndani ya uzio wako utakalokuwa unazingatia usafi maji ya kichafuka maana Bata wanapenda maji kuogelea.
3. Chakula makini chenye michangonyiko ni muhimu kwa ukuaji wao bora: Bata wa kienyeji usilishe pumba pekee huo ni ufugaji wa kizamani sana na hauna matokeo chanya hakikisha unaponunua pumba uwe na mashudu ya alizeti na chokaa na vumbi la dagaa una changanya ili kulisha Bata wako kila siku pia hakikisha unawapa chakula cha kutosha cha siku nzima
4. Usafi wa Banda; Ukifuga Bata wa kienyeji usiwe mchafu kisa ni Bata wa kienyeji hakikisha maeneo wanayolala ni kutagia ni masafi mara kwa mara kiufupi usafi ni muhimu kwa kila kiumbe hai duniani
5. Maji ya kunywa: Hakikisha Bata hawaishiwi maji ya kunywa bandani kwako. Kila yanapopungua hakikisha unaongeza ukiwa umesafisha vyombo vyao kila ifikapo jioni. Maji ni muhimu kwa Bata Kuna maji ya kunywa na maji yao ya kuogelea.
6. Mboga mboga: Kwenye mchanganyiko wa pumba zako sio vibaya ukiwa unachanganya ni mbogamboga au mabaki ya mboga mboga uliyoyakata madogo madogo ili Bata wapate mlo kamili. Unaweza nunua mboga chainizi au kabichi au yoyote ile ukawa katia katia ukachanganya na pumba zako ukawapa mboga husaidia sana kupata kiini Cha njano kwenye yai.
Ni nondo chache Kwa wewe unae taka kufuga Bata wa kienyeji wasio n gharama ukizingatia hivyo vitu mayai utapata pia nyama utapata kazi kwako kuanza.
Kwa wale wanao hitaji mbinu za uleaji vifaranga wa Bata wa kienyeji Kwa matokeo powa nawakaribisha whatsapp Kwa no 0625537380.
Kama unakwama kukuza vifaranga wa Bata njoo nikupe mbinu mbadala uwe na mifugo lukuki nyumbani kwao hata kufikia kuwa muuzaji mkubwa wa Bata.