Kuna madhara yoyote ukiwa unatumia dawa ya kienyeji ukawa mda huo pia unatumia na dawa za hospitali?

kibenten

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
499
507
habarini!

naomba kufahamishwa kama kuna madhara yoyote ukiwa unatumia dawa ya kienyeji ukawa mda huo pia unatumia na dawa za hospital kutibu ugonjwa huohuo??

mfano mi natibu UTI kwa saiv nimeanza kutumia dawa ya kienyeji jana lkn nataka nimeze na AZUMA.

JE kuna madhara hapo??
 
inategemea Dawa gani ya Asili unayotumia pamoja na hiyo dawa ya hospitali je zitaweza kufanana kinguvu? Ushauri wangu kwanza tumia hiyo dawa ya Asili ukisha maliza dozi nenda kapime ikiwa hujapona tumia hiyo dawa ya hospitali kishaukapime ikiwa hujpona nitafute mimi nikupe dawa yangu ya asili utatumia siku 21 na kabla ya hizo siku 21 utakuw aumesha pona maradhi yako ya UTI. Kwani hayo maradhi ya UTI kwa dawa za kizungu huwezi kupona imekuwa ni ngumu na sugu siku hizi maradhi ya UTI kutibika kwa dawa zaHospitali.
 
asante kwa ushauri wako mkuu.

wengi humu hawapiti kuchangia wanachangia tu kwenye MMU, na uzi wao pendwa wa Kula kimasihara.
 
Ni vizuri ukamaliza dawa za kienyeji ndio umeze za hospital, maana huwezi jua hizi dawa kama Zina interaction au

Azithromycin (Azuma) ni dawa ambayo mara nyingi haina interaction na dawa nyingine kutokana na ufanyaji wake wa kazi wa kupambana na bacteria tu
 
sawa mkuu
 
fafanua litafanyaje
Ini ndilo huchuja sumu za aina yoyote zile katika mwili wa Binadamu, hivyo basi ikiwa litarundikiwa sumu nyingi sana mwilini, hupelekea kushindwa kuzichuja ipasavyo na hatimaye Mtu hupatwa na mauti.

USHAURI:

Kila aina ya dawa za matibabu zina ukakasi wa sumu, unapaswa uzitumie kwa maelekezo sahihi toka kwa Dokta na kwa kiasi maalum.
 
asante kwa ushauri wako mkuu.

wengi humu hawapiti kuchangia wanachangia tu kwenye MMU, na uzi wao pendwa wa Kula kimasihara.
MMU kila mtu keshapractise so wanahaki ya kutoa ushuhuda asa we unataka tukapractise hayo madawa tukuletee mrejesho unauhakika tutarudi salama?😳😊
 
Ini ndilo huchuja sumu za aina yoyote zile katika mwili wa Binadamu, hivyo basi ikiwa litarundikiwa sumu nyingi sana mwilini, hupelekea kushindwa kuzichuja ipasavyo na hatimaye Mtu hupatwa na mauti.

USHAURI:

Kila aina ya dawa za matibabu zina ukakasi wa sumu, unapaswa uzitumie kwa maelekezo sahihi toka kwa Dokta na kwa kiasi maalum.
sawa mkuu asante
 
Choma sindano mkuu,I think ni powerself zile ndani ya siku 2 toaaaa hiyo kitu.Sindano za masaa, unaccompanied kwenye mishipa ya mikono
 
Back
Top Bottom