Nataka kubadili dini naogopa wazazi wangu

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Nina rafiki yangu anaitwa Rifat anatokea Egypt ni Muslim na he is really nice na familia yake yupo tofauti sana na Waislam wa Tanzania.

Zamani nilikuwa nawaogopa Waislam, kwake nimegundua unaweza kua Muislam na ukawa mtu mzuri.

Tabia yake na familia yake imenivutia sana mpaka na mimi napenda kua Muislam.

Nataka nibadili dini ila naogopa wazazi wangu
hawatapenda,wazazi wang ni wakali sana.

Hawawezi kunikubalia rafiki yangu ananishauri nibadili kwa siri ili wazazi wangu wasijue, lakini mimi sitaki nataka niwe Muislam kabisa sitaki nifanye siri nifanye nini?
 
nna rafik yngu anaitwa rifat anatokea egypt. n muslim n he is really nice na familia yke. yupo tofaut sna na waislam wa tanzania.zaman nlkuwa nawaogopa waislam.kwake nmegundua unaweza kua muislam na ukawa mtu mzur. tabia yke na familia yke imenvutia sna mpk na mm napenda kua muislam. nataka nbadil din ila naogopa wazaz wngu hawatapenda.wazaz wang ni wakal sna hawawez kunikubalia.rafik yngu ananshaur nibadil kwa sir ili wazaz wngu wasijue lkn mmsitak nataka niwe muislam kabsa sitak nfanye siri.nfanye nn?

FaizaFoxy anaweza kukusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Katika mambo yote uliowahi kutenda kwa upumbavu hili ndo la kwanza. Jiulize, kwa nini uwaogope wazazi?? Weye ni wa kwanza kubadili dini?? Isije kuwa weye ni mwanamke, tunasemaga wanawake hawana dini, hivyo badili kesho asubuhi mchana peupe.
Ila kama weye ni mwanamume, hujui uliko kwani hujui hata cha kuabudu. Nenda tu kamwagiwe maji
 
Karibu sana na Allah akujaalie kufikia adhma yako,, baada ya kubadili jifunze sana uislam hata kwa kupitia huyo rafiki yako,, usivunjwe moyo humu
 
nna rafik yngu anaitwa rifat anatokea egypt. n muslim n he is really nice na familia yke. yupo tofaut sna na waislam wa tanzania.zaman nlkuwa nawaogopa waislam.kwake nmegundua unaweza kua muislam na ukawa mtu mzur. tabia yke na familia yke imenvutia sna mpk na mm napenda kua muislam. nataka nbadil din ila naogopa wazaz wngu hawatapenda.wazaz wang ni wakal sna hawawez kunikubalia.rafik yngu ananshaur nibadil kwa sir ili wazaz wngu wasijue lkn mmsitak nataka niwe muislam kabsa sitak nfanye siri.nfanye nn?

mpaka hapo inaonesha hujui unabadili dini kwa sababu zipi...

Imani ya mtu ni yake yeye na sio wazazi, ungekuwa unajua unachotaka kukifanya wala usingeogopa wazazi, unaogopa kwa kuwa huna tumaini kwa baada ya hapo.
Kaa utafakari upya.
 
nna rafik yngu anaitwa rifat anatokea egypt. n muslim n he is really nice na familia yke. yupo tofaut sna na waislam wa tanzania.zaman nlkuwa nawaogopa waislam.kwake nmegundua unaweza kua muislam na ukawa mtu mzur. tabia yke na familia yke imenvutia sna mpk na mm napenda kua muislam. nataka nbadil din ila naogopa wazaz wngu hawatapenda.wazaz wang ni wakal sna hawawez kunikubalia.rafik yngu ananshaur nibadil kwa sir ili wazaz wngu wasijue lkn mmsitak nataka niwe muislam kabsa sitak nfanye siri.nfanye nn?
i was told and i do believe the only good moslem is the dead one!
 
nna rafik yngu anaitwa rifat anatokea egypt. n muslim n he is really nice na familia yke. yupo tofaut sna na waislam wa tanzania.zaman nlkuwa nawaogopa waislam.kwake nmegundua unaweza kua muislam na ukawa mtu mzur. tabia yke na familia yke imenvutia sna mpk na mm napenda kua muislam. nataka nbadil din ila naogopa wazaz wngu hawatapenda.wazaz wang ni wakal sna hawawez kunikubalia.rafik yngu ananshaur nibadil kwa sir ili wazaz wngu wasijue lkn mmsitak nataka niwe muislam kabsa sitak nfanye siri.nfanye nn?

ukishindwa nione. nitajitahidi nikutafutie kila njia ila upate furaha ya uislamu
 
Kubadili dini sio tatizo ila sababu ya kubadili dini ndio inanipa shaka na kama kweli ungekua unafuata haki huko kwenye uislamu usingewaogopa wazazi maana Allah ni juu ya wote iweje uwaogope wazazi walioumbwa na Allah wakati umejua kweli yake.
Kama wa kike hakika unafuta kitu kwa uyo rafiki yako ushanogewa na kama wa kiume wazazi wako wana hasara kubwa sana maana wanaume tumeumbwa na ujasiri haswa,kwa uandishi wako napata shaka pia na umri wako alafu rafiki ako nae mwehu anawezaje kukushauri ufanye kwa siri duh kama nauona mwisho wako.
 
nna rafik yngu anaitwa rifat anatokea egypt. n muslim n he is really nice na familia yke. yupo tofaut sna na waislam wa tanzania.zaman nlkuwa nawaogopa waislam.kwake nmegundua unaweza kua muislam na ukawa mtu mzur. tabia yke na familia yke imenvutia sna mpk na mm napenda kua muislam. nataka nbadil din ila naogopa wazaz wngu hawatapenda.wazaz wang ni wakal sna hawawez kunikubalia.rafik yngu ananshaur nibadil kwa sir ili wazaz wngu wasijue lkn mmsitak nataka niwe muislam kabsa sitak nfanye siri.nfanye nn?

Yaani unamsifia mtu halafu ndani ya kusifia unaweka na ubovu wake bila wewe kujua. Kama ni mtu mzuri iweje atake mambo ya siri. Wewe shida yako uislamu au kuolewa baada ya kuwekewa hiyo condition?
 
Back
Top Bottom