Nataka kuacha kazi

Nataka kuacha kazi

Hajasema anaacha kazi ili akakae nyumbani kwake bila kazi, nilivyomwelewa mimi ni kwamba, anabadirisha kazi, nijuavyo mimi, kazi anayokwenda kuifanya ni ngumu zaidi na inahitaji kujituma zaidi na tija yake ni kubwa, kazi ya sasa anayofanya, anajituma kwa kiwango cha kumridhisha bosi wake,ni ngumu kwa sababu inamnyima uhuru na tija yake kwake ni ndogo, kibaya zaidi umri unakwenda.

Kwa ufupi ni kwamba, mafanikio ya kazi anayofanya kwa sasa ni mali ya mtu mwingine, yy huambulia bonus. Mafanikio ya kazi anayokwenda kuifanya ni yake yeye kama yeye, na kinyume chake ni sahihi. Kajipima kaona bora akajitume.

You have nailed it!
 
this is wat i am thinking of, nina plan ya kuwekeza kama 30million, at least niwe na 15mil phase1 na 15mil phase2, siku ikianza kuingia pesa i know i will make it, lakini wote tunaotamani kuwekeza kuna umuhimu wa kufanya research kama business zetu zinaweza kutoka siku zote, Gud example ni Mr. Ngowi, jamaa kawekeza ktk Solar, solar ni mkombozi, Mtu mwingine ni Bwana mkubwa wa bidhaa nchini kashika pazuri sana chakula, ngano, maji. So tunapowekeza tufanye tafiti za kutosha ili tusije tukajuta. Mimi natamani kupata ardhi kama ekari 50 tu za kuanzia, halafu nipamde miti ya mbao, plan nyingine ni kupanda matunda, plan nyingine ni kuwa na kiwanda cha kutengeneza mikate, plan nyingine ni kujenga kiwanda kukamua mafuta ya alizeti, kingine ni kuwa muuzaji wa asali....Yani Lazima ujue kabisa unafanya utafiti na unapata eneo sitahiki, halafu biashara yako ni stable, ni kama kuwa na stationery karibu na chuo.
 
Kaka hilo wazo la msingi. Mimi pia nimespecialize kwenye mipango na miradi ila cha muhimu uangalie nini utakuwa unaingiza kwa siku katika private investment kiasi kwamba turnover yako isiwe chini ya matumiz yako pamoja na familia. Pamoja na wazo hilo mimi nakushaur uliendeleze zaid kwan ajira huru inakufanya uamue how much to produce in relation to market tofaut na kaz ya kuajiriwa ambayo mshahara unakuwa constant for long time and no room to add more. Kama vip tutaftane kaka

Mkuu hapo kwenye red hiyo kozi naikubali sana mungu akipenda this academic year nita fanya application ya MASTERZ pale mzumbe lengo ni kupata ujuzi na utaalam wa kurun my own projects...
 
Yes, a good one
 
this is wat i am thinking of, nina plan ya kuwekeza kama 30million, at least niwe na 15mil phase1 na 15mil phase2, siku ikianza kuingia pesa i know i will make it, lakini wote tunaotamani kuwekeza kuna umuhimu wa kufanya research kama business zetu zinaweza kutoka siku zote, Gud example ni Mr. Ngowi, jamaa kawekeza ktk Solar, solar ni mkombozi, Mtu mwingine ni Bwana mkubwa wa bidhaa nchini kashika pazuri sana chakula, ngano, maji. So tunapowekeza tufanye tafiti za kutosha ili tusije tukajuta. Mimi natamani kupata ardhi kama ekari 50 tu za kuanzia, halafu nipamde miti ya mbao, plan nyingine ni kupanda matunda, plan nyingine ni kuwa na kiwanda cha kutengeneza mikate, plan nyingine ni kujenga kiwanda kukamua mafuta ya alizeti, kingine ni kuwa muuzaji wa asali....Yani Lazima ujue kabisa unafanya utafiti na unapata eneo sitahiki, halafu biashara yako ni stable, ni kama kuwa na stationery karibu na chuo.

Tafta kitabu kinaitwa "Rich Dad, Poor Dad" By Robert Kiwasaki..you will learn more and be encourage even to start business with nothing as money as concerned
 
Wasalam wapendwa

Si kwamba nimechanganyikiwa, hapana. Naona kama nachelewa kutimiza malengo yangu na kazi niliyo nayo ni ya kuajiriwa na ofisi zake ni vijijini. Kwa miaka 10 nimekekuwa nikisafiri kutoka ninakoishi (naishi moja ya jiji hapa nchini) kwenda ofisini. Zifuatazo ni hasara na changamoto ninazoziona kwenye ajira hii

1 Nina shughuli zangu mbadala (miradi) huko jijini, kila wiki 1 au 2 lazima nione maendeleo yake, hii hunigharimu sana kifedha kiasi cha Tshs 80,000 hadi 100,000 kwa mwezi.

2 kipato changu kinachotokana na ajira si kikubwa sana ukilinganisha na shughuli binafsi nilizonazo

3. Shugughuli za ofisi zina nature ya kumlazimisha mwajiriwa kufanya kazi mchana, usiku hadi weekend (sometimes) bila overtime au incentives in turn

4 Sipendi kuhamishia familia huko kazini kwangu maana nitaongeza gharama za maisha na kupoteza dira na malengo yangu

5 Sioni kama ajira rasmi itanipa kipato thabiti kabla ya umri wangu wa uzeeni

6 Nataka kutumia Elimu yangu ya " shahada ya udhamili ya usimamizi wa miradi" kuendeleza miradi yangu binafsi

7 Naona kama utumwa fulani kuwa mwajiriwa, hii inanifanya au niwe mtoro kazini au ku Underform kazini kwangu

Kwa sasa bado naendelea, ila miradi yangu itakapokuwa na thamani ya 300mil nita resign with good will, na hili nitalifanya ndani ya miezi 18 ijayo kuanzia leo.

Just to share with you friends, you can advise otherwise, maana haya maisha nayo hubadirika, nipe uzoefu na mawazo yako tafadhari...

Hizi ndio akili za kiume na maamuzi magumu ndio uwanaume wenyewe, karibu katika club yetu tuliokataa kuwapigia magoti waajiri maisha ni mazuri tu japo kuna wakati tunapita kwenye tanuru la moto.
 
user-online.png
Chasha

10th February 2013 12:56
#1

JF Senior Expert MemberArray

Join Date : 4th June 2011
Posts : 4,110
Rep Power : 1511
Likes Received1780
Likes Given445

icon1.png
YOU Entrepreners, Ni kwa nini Wagiriki walikuwa wakichoma Meli zao Moto? Vipi wewe waweza Choma?

KUCHOMA MELI MOTO,

The ancient Greek warriors ni moja kati ya Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si kutokana na walivyo fundishwa au Silaha walizo kuwa nazo, no ni kutokana na Commitment yao ya Kushinda Vita waliyo kuwa nayo.

Wagiriki walivyo kuwa wakifika Pwani ya Maadui wao Cha kwanza ambacho Kamanda wao alikuwa akiwaamulisha wanajeshi wafanye ni Kuchoma Meli zote zilizo wafikisha pale, Na wanajeshi kwa Pamoja walikuwa wakichoma Meli zote Moto,

MESSAGE HAPA ILIKUWA NI CLEAR KABISA,
1. There was no Turning Back
2. There was no retreat
3. No surrender

The only way out was Forward, Na ni Victory or Death, na hakuna outcome nyingine zaidi ya hizo Mbili za Kushinda Vita au Kuuwawa. Na hii stail iliwahi kutumiwa na Wamexco katika vita miaka ya 1500
-Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakiona Meli zao zikiwaka Moto walikuwa wanaogopa sana na wanajua kabisa hakuna Kurudi Nyuma, hakuna kujisalimisha, ila kazi ni Moja tu kushinda Vita

Katika Maisha tunahitaji kufanya kila liwezekanalo kufanya maamuzi ambayo ni sahihi kabisa, hatuwezi kuwa shihi muda wote lakini ukifanya analysisi utagundua hakuna kisicho wezekana. Ila tumekuwa tukikutana na vikwanzo vingi sana vinavyo tufanya Safari yetu isifike popote pale

1. Vikwazo kutoka kwa Familia yako
2. Marafiki
3. Ndugu jamaa na Marafiki
4. Wafanya kazi wenzako
5. Uoga wa hali ya Juu
6. Ukikumbuka kazi yako nzuri sana na malupulupu unayo pata
7. Ukikumbuka Marafiki zako na jinsi mnavyo badili viwanja kila wikend
8. Ukikumbuka mpenzi wako ambaye alikeupenda sana kwa sababu tu ya kazi uliyo nayo
9. Mkopo wa kazini uliochukua
10. Kazini wewe ni Bosi
11. Unatembelea gari la ofisi
12. Unaishi kwenye nyumba ya kampuni
13. Familia yako inaheshima mtaa mzima kwa sababu tu wewe ni bosi mahali fgulani

Hivi vitu kila mtu akivikumbuka kusonga mbele huwa ni ndoto sana, Wakuu wa majeshi ya wagiriki walijua haya mapema sana, walitambua wanjeshi wanavyo enda vitani huku Nyuma wamewaacha wapenzi wao wano wapenda sana, wamewaacha marafiki, Ndugu na jamaa, Hivyo Bila kuchoma meli moto hawa watu wanaweza waamue tu kurudi nyuma na kurudi nyumbani kwa sababau bado wana watu walio nyuma yao.

Tunashindwa kusonga Mbele kwa sababu tunakuwa na optional Nyingi sana

1.Tuna mishahara tunategemea so hakuna Presha hata nikishindwa
2. Hakuna mtu atakaye jua kama nimeshindwa biashara kwa sababu maisha yangu yatakuwa vile vile
3. Famili yangu haitakuwa kwenye risk kwa sababu nina mshahara wa kutosha so haijalishi
4. Hakuna Down side

KWA NINI NICHAGUE KUCHOMA MELI MOTO?

1. Nitakuwa full committed
2. Your heart and mind itakuwa ni 100% focused.
3. No destractions
4. Hakutakuwa na side project kama ajira na kazalika,
5. Hakuna kuangalia Nyuma kwa sababu Ulisha choma moto Meli na hakuna njia ya kukurudisha kule uliko kuwa
6. You can't retreat back katika kazi yako ya zamani
7. You're out on the street and forced to hustle
8. No flight, only fight
9. Utafanikiwa au utashindwa hivyo jaribu

Katika Kisi hiki nimejifunza mengi sana Baada ya Kuchoma Meli Yangu Moto na sina optional nyingine zaidi ya kuendelea na Ujasirimali wangu, Saving akaount yangu kila kukicha inazidi kuwa ndogo, The clock is ticking,
But nothing will force me to move faster and perform better than the raw instinct of survival.

So Unapo Ingia katika Ujasirimali ni Lazima ufanye hivyo na ni sawa na kuachwa kisiwana Pekee, Katika Biashara kuna Optional Mbili tu Kushinda au Kufeli, Ila kwa sababu kisiwani uko pekee yako ni lazima Upigane kufa na kupona ili kushinda na si kushindwa,

Mkuu, hapo kwenye vikwazo, namba 5,6 ninahusika...umenigusa mkuu, nitakatilia mbali kikwazo na. 5 na 6 nita contain kikamilifu

user-online.png
Chasha

10th February 2013 12:56
#1

JF Senior Expert MemberArray

Join Date : 4th June 2011
Posts : 4,110
Rep Power : 1511
Likes Received1780
Likes Given445

icon1.png
YOU Entrepreners, Ni kwa nini Wagiriki walikuwa wakichoma Meli zao Moto? Vipi wewe waweza Choma?

KUCHOMA MELI MOTO,

The ancient Greek warriors ni moja kati ya Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si kutokana na walivyo fundishwa au Silaha walizo kuwa nazo, no ni kutokana na Commitment yao ya Kushinda Vita waliyo kuwa nayo.

Wagiriki walivyo kuwa wakifika Pwani ya Maadui wao Cha kwanza ambacho Kamanda wao alikuwa akiwaamulisha wanajeshi wafanye ni Kuchoma Meli zote zilizo wafikisha pale, Na wanajeshi kwa Pamoja walikuwa wakichoma Meli zote Moto,

MESSAGE HAPA ILIKUWA NI CLEAR KABISA,
1. There was no Turning Back
2. There was no retreat
3. No surrender

The only way out was Forward, Na ni Victory or Death, na hakuna outcome nyingine zaidi ya hizo Mbili za Kushinda Vita au Kuuwawa. Na hii stail iliwahi kutumiwa na Wamexco katika vita miaka ya 1500
-Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakiona Meli zao zikiwaka Moto walikuwa wanaogopa sana na wanajua kabisa hakuna Kurudi Nyuma, hakuna kujisalimisha, ila kazi ni Moja tu kushinda Vita

Katika Maisha tunahitaji kufanya kila liwezekanalo kufanya maamuzi ambayo ni sahihi kabisa, hatuwezi kuwa shihi muda wote lakini ukifanya analysisi utagundua hakuna kisicho wezekana. Ila tumekuwa tukikutana na vikwanzo vingi sana vinavyo tufanya Safari yetu isifike popote pale

1. Vikwazo kutoka kwa Familia yako
2. Marafiki
3. Ndugu jamaa na Marafiki
4. Wafanya kazi wenzako
5. Uoga wa hali ya Juu
6. Ukikumbuka kazi yako nzuri sana na malupulupu unayo pata
7. Ukikumbuka Marafiki zako na jinsi mnavyo badili viwanja kila wikend
8. Ukikumbuka mpenzi wako ambaye makeupenda sana kwa sababu tu ya kazi uliyo nayo
9. Mkopo wa kazini uliochukua
10. Kazini wewe ni Bosi
11. Unatembelea gari la ofisi
12. Unaishi kwenye nyumba ya kampuni
13. Familia yako inaheshima mtaa mzima kwa sababu tu wewe ni bosi mahali fgulani

Hivi vitu kila mtu akivikumbuka kusonga mbele huwa ni ndoto sana, Wakuu wa majeshi ya wagiriki walijua haya mapema sana, walitambua wanjeshi wanavyo enda vitani huku Nyuma wamewaacha wapenzi wao wano wapenda sana, wamewaacha marafiki, Ndugu na jamaa, Hivyo Bila kuchoma meli moto hawa watu wanaweza waamue tu kurudi nyuma na kurudi nyumbani kwa sababau bado wana watu walio nyuma yao.

Tunashindwa kusonga Mbele kwa sababu tunakuwa na optional Nyingi sana

1.Tuna mishahara tunategemea so hakuna Presha hata nikishindwa
2. Hakuna mtu atakaye jua kama nimeshindwa biashara kwa sababu maisha yangu yatakuwa vile vile
3. Famili yangu haitakuwa kwenye risk kwa sababu nina mshahara wa kutosha so haijalishi
4. Hakuna Down side

KWA NINI NICHAGUE KUCHOMA MELI MOTO?

1. Nitakuwa full committed
2. Your heart and mind itakuwa ni 100% focused.
3. No destractions
4. Hakutakuwa na side project kama ajira na kazalika,
5. Hakuna kuangalia Nyuma kwa sababu Ulisha choma moto Meli na hakuna njia ya kukurusha kule uliko kuwa
6. You can't retreat back katika kazi yako ya zamani
7. You're out on the street and forced to hustle
8. No flight, only fight
9. Utafanikiwa au utashindwa hivyo jaribu

Katika Kisi hiki nimejifunza mengi sana Baada ya Kuchoma Meli Yangu Moto na sina optional nyingine zaidi ya kuendelea na Ujasirimali wangu, Saving akaount yangu kila kukicha inazidi kuwa ndogo, The clock is ticking,
But nothing will force me to move faster and perform better than the raw instinct of survival.

So Unapo Ingia katika Ujasirimali ni Lazima ufanye hivyo na ni sawa na kuachwa kisiwana Pekee, Katika Biashara kuna Optional Mbili tu Kushinda au Kufeli, Ila kwa sababu kisiwani uko pekee yako ni lazima Upigane kufa na kupona ili kushinda na si kushindwa,

Chasha nimekupenda bure,umesema kweli sanaa...imenigusaa,mana km hapa najaribu kuweka kitu bt at the same time najiendeleza kielimu kama back up plan,inapunguza commitment smtym...
Nimejifunza kitu,but smtym inabidi ushike vyote,with time ntaona wapi pa kuachia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hapo kwenye vikwazo, namba 5,6 ninahusika...umenigusa mkuu, nitakatilia mbali kikwazo na. 5 na 6 nita contain kikamilifu

Tehe tehe, Mkuu ndo maana nikakwambia unatakiwa kufanya maamuzi magumu sana na katika kuchukua maamuzi inaweza some time hadi kuvunja ndoa yako, unaweza kosana na ndugu Ila ni lazima kuchagua moja.

Kuacha kazi na kuingia kwenye ujasirimali si kazi ndogo ni kazi ngumu sana so ni lazima uwe na spirit ya kipekee kabisa
 
Chasha nimekupenda bure,umesema kweli sanaa...imenigusaa,mana km hapa najaribu kuweka kitu bt at the same time najiendeleza kielimu kama back up plan,inapunguza commitment smtym...
Nimejifunza kitu,but smtym inabidi ushike vyote,with time ntaona wapi pa kuachia
badiebey il ufanikiwe ni lazima uchague moja, na Kuchoma Meli moto kuna maanisha huna paln B wala C bali una plan A tu, Wagiriki walichoma Meli zao moto ili wabakie na plan A tu ya kushinda Vita, Hivyo katika safari ya Ujasirimali ni lazima uwe na only one plan, namanisha, Plan A iwe ni ujasirimali, Plan B iwe ni ujasirimali pia na hivyo hivyo plan C, Ila plan A ikiwa ujasiriamali na plan B ikawa ni kazi ya kuajiriwa hutaweza kufanikiwa.

Unacho takiwa kufanya ni just kusonga mbele na unacho kifanya, usiingie kwenye ujasirimali ukiwa na roho ya kusita sita, no wewe ingia na pambana bila kumuonea yoyote aibu,
 
Uoga ndo umasikini wetu, Na lisha wahi sema Uoga wa kuacha kazi na kuingia kweny bus ni sawa na uoga wa kwenye paper, kipindi cha paper kikifika kunakuwaga na uoga fulani ila ukisha piga paper ya kwanza na ya pili ouga huondoka, na kwenye bus ni hivyo hivyo.
 
Wasalam wapendwa

Si kwamba nimechanganyikiwa, hapana. Naona kama nachelewa kutimiza malengo yangu na kazi niliyo nayo ni ya kuajiriwa na ofisi zake ni vijijini. Kwa miaka 10 nimekekuwa nikisafiri kutoka ninakoishi (naishi moja ya jiji hapa nchini) kwenda ofisini. Zifuatazo ni hasara na changamoto ninazoziona kwenye ajira hii

1 Nina shughuli zangu mbadala (miradi) huko jijini, kila wiki 1 au 2 lazima nione maendeleo yake, hii hunigharimu sana kifedha kiasi cha Tshs 80,000 hadi 100,000 kwa mwezi.

2 kipato changu kinachotokana na ajira si kikubwa sana ukilinganisha na shughuli binafsi nilizonazo

3. Shugughuli za ofisi zina nature ya kumlazimisha mwajiriwa kufanya kazi mchana, usiku hadi weekend (sometimes) bila overtime au incentives in turn

4 Sipendi kuhamishia familia huko kazini kwangu maana nitaongeza gharama za maisha na kupoteza dira na malengo yangu

5 Sioni kama ajira rasmi itanipa kipato thabiti kabla ya umri wangu wa uzeeni

6 Nataka kutumia Elimu yangu ya " shahada ya udhamili ya usimamizi wa miradi" kuendeleza miradi yangu binafsi

7 Naona kama utumwa fulani kuwa mwajiriwa, hii inanifanya au niwe mtoro kazini au ku Underform kazini kwangu

Kwa sasa bado naendelea, ila miradi yangu itakapokuwa na thamani ya 300mil nita resign with good will, na hili nitalifanya ndani ya miezi 18 ijayo kuanzia leo.

Just to share with you friends, you can advise otherwise, maana haya maisha nayo hubadirika, nipe uzoefu na mawazo yako tafadhari...

Tafuta kwanza vitabu vifuatavyo vya uvisome kwa makini: "Rich Dad Poor Dad", "Be Rich & Happy" na "How to quit from your job" vyote vya Robert Kiyosaki. Vinaweza kukupa ushauri mzuri zaidi. All the best.
 
Uoga ndo umasikini wetu, Na lisha wahi sema Uoga wa kuacha kazi na kuingia kweny bus ni sawa na uoga wa kwenye paper, kipindi cha paper kikifika kunakuwaga na uoga fulani ila ukisha piga paper ya kwanza na ya pili ouga huondoka, na kwenye bus ni hivyo hivyo.

Kweli mkuu. Lakini tunapaswa kuushinda uoga. Hebu fikiri mtoto wa ndege mdogo ambaye ndo kwanza ameanguliwa kwenye yai, kama angeogopa kuruka tena toka juu ya mti. leo si tungekuwa na ndege wasioweza kuruka?
 
Millioni tatu tu kama unayo akili nzuri inakutoa katika ujasiriamali. Ni namfano na mchaga moja alianza na laki tano sasa ana macenter, nyumba na mabasi.
 
mkuu naungana na wewe mimi nimeanza kuchukua hatua kimsingi kuacha kazi ni rahisi sana na mtaji kwa watu wanaoanya kazi ni matumaini kuwa wanao kwa kuwa ukipiga hesabu na ukiangalia contribution zako ulizochangia mifuko ya jamii patakuwepo na hela nzuri ya kuanzia huo mtaji.Mkuu ukipiga hesabu ya harakaharaka unaweza ukaenda ukanunua mashine ya incubator ya mayai 5000 kwa kuagiza kutoka china hadi kufanya clearing ni kama milioni 2.5 unanunua tana generator hapa bongo kwa laki 7.baada ya hapo unaanza kuangua vifaranga ambao kila wiki unaweka mayai 1500 baada ya wiki tatu unapata vifaranga 1200( tunachukulia kuwa mayai 300 yameharibika) kifaranga kimoja ni 1200 ukizidisha mara 1200 unapata 1440000 ukitoa laki 6 kwa ajili ya kununua mayai unabakiwa na laki 8 ukitoa umeme na labour charge laki 300000 umebakiwa na laki tano na elfu arobaini ukizidisha kwa wiki nne unakuwa na milioni mbili kama faida baada ya kuondoa running cost. Kwa haraka hii ni hela ndefu ambayo kama uko serious unaweza kutoka. Nawasilisha. Nelson mandela aliwahi kusema - 'It always seems impossible until it's done.'
this is wat i am thinking of, nina plan ya kuwekeza kama 30million, at least niwe na 15mil phase1 na 15mil phase2, siku ikianza kuingia pesa i know i will make it, lakini wote tunaotamani kuwekeza kuna umuhimu wa kufanya research kama business zetu zinaweza kutoka siku zote, Gud example ni Mr. Ngowi, jamaa kawekeza ktk Solar, solar ni mkombozi, Mtu mwingine ni Bwana mkubwa wa bidhaa nchini kashika pazuri sana chakula, ngano, maji. So tunapowekeza tufanye tafiti za kutosha ili tusije tukajuta. Mimi natamani kupata ardhi kama ekari 50 tu za kuanzia, halafu nipamde miti ya mbao, plan nyingine ni kupanda matunda, plan nyingine ni kuwa na kiwanda cha kutengeneza mikate, plan nyingine ni kujenga kiwanda kukamua mafuta ya alizeti, kingine ni kuwa muuzaji wa asali....Yani Lazima ujue kabisa unafanya utafiti na unapata eneo sitahiki, halafu biashara yako ni stable, ni kama kuwa na stationery karibu na chuo.
 
Ni jambo jema sana kuamua kujiajiri.
Ushauri wangu ni huu, angalia miradi yako unayoitegemea kama imejengwa ktk misingi imara ya kuhimili ushindani wa mitaji ya wengine,kuna miradi mingine inaingiza fedha za chap chap lakini ikipita misuko suko kidogo tu, mradi chali.

Uoga ni dhambi, choma meli tukutane ng`ambo ya ziwa.

Nimeipenda hii mkuu Malila "choma meli moto tukutane ng'ambo ya ziwa!"
 
Last edited by a moderator:
Tafuta kwanza vitabu vifuatavyo vya uvisome kwa makini: "Rich Dad Poor Dad", "Be Rich & Happy" na "How to quit from your job" vyote vya Robert Kiyosaki. Vinaweza kukupa ushauri mzuri zaidi. All the best.

Mkuu huhitaji kusoma kitabu cha aina yoyote ile, Ujasirimali haufundishwi na hakuna chuo chini ya jua kinacho fundisha watu kuto kuwa waoga, hivyo vitabu hata ungesoma vingi kiasi gani bila kuchukua hatua ni kazi bure.
 
Nimeipenda hii mkuu Malila "choma meli moto tukutane ng'ambo ya ziwa!"

Meli yangu inaungua sasa hivi, nimeanza kuchoma chumba cha nahodha, sababu hicho ndio chenye nguvu ktk meli. Mpaka december 2014 waokota screpa wataenda kuopoa ili wakauze mbele huko.
 
Back
Top Bottom