Natafuta wakuniondoa upweke

Natafuta wakuniondoa upweke

Zum zum,
Nyuki lia we,
Ruka mbali,
Kutafuta,
Ua zuri,
La maua,zum zum,
Nyuki lia weee......
shansarie at last umegundua mzinga wa asali......karibu masaki nyumbani kwangu,shida zote tupa kurrreeeee
 
Last edited by a moderator:
Yaani kabla hata hujajua kuwa mwenza wako huko aliko yu salama ama vipi ushatoa oda kwa wengine.

Kuwa mvumilivu.
 
ningeambiwa hata kosa langu basi,vipi huko kwenye mikoba yako hakuna dawa ya kurudisha wapenzi
nina shida we acha tu
Bibie shansarie Ninakupa Dawa ya kiziguwa nenda sokoni kariakoo nyuma ya posta ya

kariakoo kuna sehemu wanauza dawa za mitishamba kanunuwe hapo kwa Wakwere ndio wanaouza hizo Dawa kanunuwe

dawa inaitwa Unga wa Mripu kisha njoo nyumbani kwako weka mkaa wa moto utie huo unga wa mripu kwenye huo mkaa

wa moto kidogo kidogo uwe unamuita mara 7 kwa jina lake huyo mpenzi wako na useme wewe Mripu nenda kamripue (fulani bina fulani ) utaje jina lake na la baba yake

kamripue moyo wake aje kwangu mimi na anipende sema hivyo wakati unauchoma huo mripu kwenye moto taratibu rudia

rudia hivyo mara 7 kisha uache moshi uunguwe atakuja huyo mpenzi wako haraka iwezekanavyo fanya hivyo kisha uje unipe

feedback. Nimekupa Sayansi hiyo ya Tiba Mbadala.
 
Last edited by a moderator:
Kiwatenu kwa taarifa yako fupi picha yako ninayo nakupa masaa 24 urudi kwa mkeo la naitoa kwenye mbao zote za matangazo hapa jf. mkeo ameanza kuwatamani wakwe zake akina Bishanga. narudia Kiwatengu mkeo anakuhitaji.
 
Mamndenyi naunga mkono hoja.....haiwezekami hawa wababa waje tuu kutaka kujilia wakati mwenye mali yupo....hima bestito
 
Last edited by a moderator:
Bibie shansarie Ninakupa Dawa ya kiziguwa nenda sokoni kariakoo nyuma ya posta ya

kariakoo kuna sehemu wanauza dawa za mitishamba kanunuwe hapo kwa Wakwere ndio wanaouza hizo Dawa kanunuwe

dawa inaitwa Unga wa Mripu kisha njoo nyumbani kwako weka mkaa wa moto utie huo unga wa mripu kwenye huo mkaa

wa moto kidogo kidogo uwe unamuita mara 7 kwa jina lake huyo mpenzi wako na useme wewe Mripu nenda kamripue (fulani bina fulani ) utaje jina lake na la baba yake

kamripue moyo wake aje kwangu mimi na anipende sema hivyo wakati unauchoma huo mripu kwenye moto taratibu rudia

rudia hivyo mara 7 kisha uache moshi uunguwe atakuja huyo mpenzi wako haraka iwezekanavyo fanya hivyo kisha uje unipe

feedback. Nimekupa Sayansi hiyo ya Tiba Mbadala.

Haya sasa.....kumbe haya mambo yanafanyika kiukwelii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom