Natafuta wakuniondoa upweke

Natafuta wakuniondoa upweke

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,373
mpenzi wangu kiwatengu ni siku nyingi zimepita sikuoni nyumbani umeaga waenda safari kikazi,
lakini hata message sipati simu sipigiwi tatizo nini mume wangu.nimevumilia sana sasa naona yananishinda
sheji zangu Erickb52 Arushaone Mr Rocky Baba V EMT watu8 sosoliso figganigga Filipo kaka Kaizer Asprin Slave dear njoo nisaidieni kumsaka huyu mtu.Dr MziziMkavu njoo na dawa ya kumrudisha huyu kiumbe

mama yangu mpenzi Mamndenyi
dada zangu na mawifi zangu Lady doctor, King'asti Passion Lady Mrembo by Nature, Heaven on earth Chocs Dena Amsi The secretary marejesho Madame B ladyfurahia mmemuona wapi huyu mtu nisaidieni kuchungulia na nyumbani kwa Smile pengine kazama humo

nimebaki na upweke wa hali ya juu please natafuta mtu wa kunitoa upweke huu niliona,jicho langu liko kwa Bishanga
na Excellent hawa watanifaa kuondoa upweke kiroho safiii. Najuta kwann sikumkubali TheDealer hata awe kidumu

NATESEKAJE
 
Last edited by a moderator:
mpenzi wangu@kiwatengu ni siku nyingi zimepita sikuoni nyumbani umeaga waenda safari kikazi,
lakini hata message sipati simu sipigiwi tatizo nini mume wangu.nimevumilia sana sasa naona yananishinda
sheji zangu Erickb52 Arushaone Mr Rocky Baba V EMT watu8 sosoliso figganigga Filipo kaka Kaizer Asprin Slave dear njoo nisaidieni kumsaka huyu mtu.Dr MziziMkavu njoo na dawa ya kumrudisha huyu kiumbe

mama yangu mpenzi Mamndenyi
dada zangu na mawifi zangu Lady doctor, King'asti Passion Lady Mrembo by Nature, Heaven on earth Chocs Dena Amsi The secretary marejesho Madame B ladyfurahia mmemuona wapi huyu mtu nisaidieni kuchungulia na nyumbani kwa Smile pengine kazama humo

nimebaki na upweke wa hali ya juu please natafuta mtu wa kunitoa upweke huu niliona,jicho langu liko kwa Bishanga
na Excellent hawa watanifaa kuondoa upweke kiroho safiii. Najuta kwann sikumkubali TheDealer hata awe kidumu

NATESEKAJE

Duh hawa ndio masupa staa wa Jf auu?
 
Last edited by a moderator:
Mapema namna hii shostito.. Bishanga juzi aliomba radhi wataka leo tena arudie makosa?
Unataka uondolewe upweke wa namna gani bibie
 
Last edited by a moderator:
Pole bi dada he will be back soon...kule alikoenda kuna NETWORK?
 
Mapema namna hii shostito.. Bishanga juzi aliomba radhi wataka leo tena arudie makosa?
Unataka uondolewe upweke wa namna gani bibie
Bishanga alikuwa anazuga tu anaomba radhi wakati huku pembeni anikonyeza radhi gani hii ss
Labda simu imeibwa!!
angeomba hata ya jirani anijulishe basi
watu8 ndo umwambie shansarie home sweet home. kiwatengu atazunguka kote hukoo mwishowe atarudi tu

ndo mnisaidie kupiga goti arudi
 
Last edited by a moderator:
Pole sana, kiwatengu vipi bwana unaondoka bila ya kuacha mtu wa kumtibu mwandani wako....!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom