Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,738
MziziMkavu unajua umenichekesha. ngoja nikakununulie huo unga wa mripu nikufanyie majaribio.
Last edited by a moderator:
inategemea mtu mwenyewe wa viwango ganiNawee....unafanywa king'amuzi unakubali?
kaka mkubwa MziziMkavu huyo jamaa atakuwa kafichwa na nyumba ndogo.si unajua wake wakubwa wakishaolewa tayari wanaanza kuleta dharau? zile heshima na taadhima za enzi za uchumba zinafutika,
Ni hali ya kufikirika tu shem...heri yako na usiombe uwe na upweke...hahahaha kiswahili bwana!Hahaha...hivi upweke ni kitu gani shem? miye mbona sijawahi kuwa nacho
Bibie shansarie Ninakupa Dawa ya kiziguwa nenda sokoni kariakoo nyuma ya posta ya
kariakoo kuna sehemu wanauza dawa za mitishamba kanunuwe hapo kwa Wakwere ndio wanaouza hizo Dawa kanunuwe
dawa inaitwa Unga wa Mripu kisha njoo nyumbani kwako weka mkaa wa moto utie huo unga wa mripu kwenye huo mkaa
wa moto kidogo kidogo uwe unamuita mara 7 kwa jina lake huyo mpenzi wako na useme wewe Mripu nenda kamripue (fulani bina fulani ) utaje jina lake na la baba yake
kamripue moyo wake aje kwangu mimi na anipende sema hivyo wakati unauchoma huo mripu kwenye moto taratibu rudia
rudia hivyo mara 7 kisha uache moshi uunguwe atakuja huyo mpenzi wako haraka iwezekanavyo fanya hivyo kisha uje unipe
feedback. Nimekupa Sayansi hiyo ya Tiba Mbadala.
Eh...haya baba naona umejithaminishia!mi ndo namfaa,thread closed!