figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,193
- 64,612
Mhhhh mko fasta....!!!!!!
Tuko fasta kama muda. Mia
Mhhhh mko fasta....!!!!!!
inategemea mtu mwenyewe wa viwango gani
Tuko fasta kama muda. Mia
am trying though
ndo ukweli huo
heri nijipange upyaThen find of yours...viachi hivi vya watu...utaja nasa....na king'amuzi kitaja stuck usione picha..sheuriyoo
Bibie Mamndenyi Mimi nimetoa Dawa kumbe wewe unataka hiyo Dawa unijaribu nayo mimi MziziMkavu Hauchimbwi Dawa? haaaaaaaaaaa wewe unachezea Bagamoyo shauri yako. Dawa itakurudia wewe mwenyewe hunipati Ng'ooooooooooooooMziziMkavu unajua umenichekesha. ngoja nikakununulie huo unga wa mripu nikufanyie majaribio.