Natafuta uwanja wa kukodi kwa miaka 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta uwanja wa kukodi kwa miaka 2

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by dr. gracemary, Jul 15, 2011.

 1. d

  dr. gracemary Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta eneo la kukodi kwa mkataba wa miaka 2 au miaka 3. Liwe ama barabara ya morogoro road kati ya kimara hadi ubungo, ama segerea hadi tabata relini. Mwenye eneo awasiliane nami gracemary_john@yahoo.com Eneo liwe na ukubwa wa kutosha angalau 30x30 au kubwa zaidi ya hiyo
   
 2. u

  ureni JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Unataka kulifanyia nini tupe data tuelewe kama ni kanisa itakua noma kwa sababu nasikia watu wakichukua eneo lako wakafungua kanisa imekula kwako manake kuhama inakuaga mbinde
   
Loading...