Natafuta Mke wa Masharti ya Maisha ya Uchumi!

gaintoo broisser

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
307
378
Mimi ni kijana wa miaka 33 Naishi Mwanza ni mfanyabiashara wa kujitegemea, nipo hapa mbele yenu wanaJamii natafuta Mwanamke wa kuoa Kwa Mkataba.

Mimi ni mfanyabiashara, na nimejiunga na Chama KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO tarehe 2 Mwezi wa 3 Mwaka 2024

vigezo vya mwanamke ninayemuhitaji.
1. Awe na miaka 29 hadi 40
2. Awe Amejiunga kwenye Chama cha Wanawake cha KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
3. Awe tayali tufunge Mkataba wa kuoana kwa miaka 4 na kila mtu awe anajitegemea Na Kwenye mkataba nitamlipa endapo atakizi vigezo vyote, Watoto nitalea mimi na mkataba ukiisha Watoto ni mali yangu ila yeye ataendelea kuitwa Mama

Nb: Kila mmoja awe anajitegemea kwenye Uchumi wake aka 50 kwa 50 na awe tayali kupima DNA kwa Watoto waliozaliwa
ASANTENI SANA wanachama wenzangu KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
 
Mkuu umeamua kuwa Sniper wa kuleta maendeleo, contract ya kibabe safi sana. Wanahitajika watu wa hivi wengi zaidi nchini.
 
Mimi ni kijana wa miaka 33 Naishi Mwanza ni mfanyabiashara wa kujitegemea, nipo hapa mbele yenu wanaJamii natafuta Mwanamke wa kuoa Kwa Mkataba.

Mimi ni mfanyabiashara, na nimejiunga na Chama KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO tarehe 2 Mwezi wa 3 Mwaka 2024

vigezo vya mwanamke ninayemuhitaji.
1. Awe na miaka 29 hadi 40
2. Awe Amejiunga kwenye Chama cha Wanawake cha KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
3. Awe tayali tufunge Mkataba wa kuoana kwa miaka 4 na kila mtu awe anajitegemea Na Kwenye mkataba nitamlipa endapo atakizi vigezo vyote, Watoto nitalea mimi na mkataba ukiisha Watoto ni mali yangu ila yeye ataendelea kuitwa Mama

Nb: Kila mmoja awe anajitegemea kwenye Uchumi wake aka 50 kwa 50 na awe tayali kupima DNA kwa Watoto waliozaliwa
ASANTENI SANA wanachama wenzangu KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Badilisha hiyo avatar ndugu yangu.

Nilikuwa najiandaa kwenda Pm kwako kuomba k.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom