Natafuta tender za kutengeneza Milango ya Mbao za Mkongo

Hizi bei za milango zikabadilika kila mara, mimi ulianiamba 300k ilisiyopigwa rangi na 350k yenye polish. Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Hizi bei za milango zikabadilika kila mara, mimi ulianiamba 300k ilisiyopigwa rangi na 350k yenye polish. Au nasema uongo ndugu yangu?
Ni vizuri kuwa consistent and mkweli au kujua unazungumzia nini. Nioneshe hiyo text ambayo nimesema isiyopigwa rangi ni 300k na yenye polish ni 350k.
 
Back
Top Bottom