Natafuta summary ya map reading & Interpretation

Babjitz

Member
Oct 19, 2015
31
95
Wadau vipi..
Natumai mpo fresh. Ishu yangu ni namna ya kupata angalau summary ya Map reading & Interpretation kama mtu anayo basi aniangushie huo mzigo. Shukrani
 

tunza

Member
Jul 14, 2009
69
95
Wadau vp.., natumai mpo frexh. ishu yangu ni namna ya kupata angalau summery ya Map reading &Interpretation kama mtu anayo bac anianguxhie huo mzigo. Xhukran
Kila kitu kipo kwenye tHL app.
Jinsi ya ku-install tHL app
---------------------------
1.Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. 2. OFFLINE version (for Secondary Schools) Nenda www.thlappstore.co.tz kisha download. Kwenye hiyo site video ya installation ipo hapo (Fuata hiyo video STEP BY STEP). 3. Kwa computer download hapa tHL app ina Scholarships, Notes form I - VI na Ukurasa wa Jamii wenye makala zinazoeleza namna ya kuachana na Msongo wa mawazo na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .

Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom