Natafuta sperm donor

Natafuta sperm donor

Kama kuowa hamtaki, mnataka tufanyaje sasa? Bora nizae mapenzi nihamishie kwa mwanangu
Dada acha hizo watu tunatafuta wanawake wa kuoa hatupati wewe unasema hatuoi,au ndio tatizo la kuonana na mwenye shida ya kuoa.
 
mekosa sifa moja ya Weupe ila hiyo ndo kazi yangu inayoniweka mjini.
 
Ni PM, niko kama hiyo Picha inavyoonesha
 
pole aqeelah...tatizo watu hawajui tu au wanajua situation halisi unapojikuta kwenye upweke ulopitiliza..hata mimi japo hata miaka 25 sijafika na bado mbali but hali kama hiyo ya kuumizwa na upweke ikiendelea hadi 30 nakuwa mawazo kama yako,yani naimagine nko room na toto langu tunakimbizana wee,tunaruka kitandani basi nifurahi na kusahau ya dunia..but je wewe umefikiria ikitokea ukafarik ghafla ni nani atamlea mwanao kwa mapenzi yote as u know hii dunia ya sasa.
Yani mkuu hata miaka 25 unasema uko mbali kuifikia lakini umeshaanza kuumizwa na mapenzi, sasa mwenzetu uliyaanza lini hadi yameshakukinai? Ni mawazo yangu tu
 
Mimi ni sperm donor, ni-pm nikutumie popote ulipo
 
Upo sahihi ila kila mtu na maisha yake mkuu

Siwezi kupingana na hii njia uliyoichagua kwa vile sijui umepitia mitihani na matatizo ya aina gani, lakini bado kunaweza kuwa na suluhu nyingine bora kuliko hii dadaangu. Mshukuru Mungu at least wewe umefikiria hii njia kama suluhu, mwingine angeweza kujiua ili apotee duniani.
 
***
mi namuwinda aqeelah unakuja wewe!,aah /kibaya umeblock hata profile yako!
Hahaaaa.. Nilimaanisha humu wako wengi walioumizwa lakini kuumizwa kusikufanye uwe sperm donor . Kams mtu anataka mtoto kwa nini asiende Clinic hapa Dar akapandikiza sperm. Kuna clinic hapa iko afadhali kidogo kwa bei haswa yeye mwenye degree zake . Million 30 unapata process ya Sperm bila kupata mashaka . Akapandikize tuu clinic halafu alee mwanae kama kweli ana nia ya Sperms tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom