Natafuta shamba la kununua Kisaki heka 50 - 200

Nakupongeza kwa uwekezaji mkubwa huu, naamini utazalisha ajila kwa watanzania wengi. Kama utafanikiwa kupata ardhi basi wadau tupo kuhakikisha unapata maji ya kutosha kwenye eneo lako.

Tutafanya water exploration ya kutosha, ukiitaji kisima tutachimba na ukihitaji pump za maji za kutumia vyanzo mbalimbali vya umeme, tutatatua pia.
 
Kisima mie... Wewe tutakupa oda y pump
 
Aje saiv, namalizia kazi hapa twende kisaki
JPEG_20210729_094933_5794308634445711812.jpg
 
nandengele unapoulizia bei za kisima weka na location ya eneo lako maana gharama za uchimbaji zinaangalia sana location ya site kwanza.
 
Huyu jamaa kanichonganisha na mwenyekiti wa kisaki. Nimepiga sana na kutafuta connectuon, mashamba yamepatikana halafu yeye kakaa kimya..

binadam bwana
ndo changamoto za utafutaji usiwe disappointed sana kila hatua kwenye maisha ni ELIMU.
 
Huyu jamaa kanichonganisha na mwenyekiti wa kisaki. Nimepiga sana na kutafuta connectuon, mashamba yamepatikana halafu yeye kakaa kimya..

binadam bwana
Mkuu kinye kinye kiasi gani eka moja pande hizo za kisaki?Sihitaji kununua kwa sasa lakini nikijuwa bei itanisaidia sana.
 
Ndg ukihitaj mtaalamu wa kilimo niko hapa...hata ukitaka nijitolee kisha ukiona uwezo wng unipe kaz niko tayar
 
Huko kisaki Morogoro kulinifilisi sina hamu nako hata kidogo.nusura nipate ugonjwa wa akili

Niliingiza 8M+ kwenye kilimo,baada ya msimu nikaambulia magunia 38 ya mahindi kutoka kwenye projection ya magunia 250.Halafu wenyeji wangu wananiambia hongera sana umepata mengi mbona. Nikatafakari jinsi ya kumueleza waifu maana alikuwa against hiyo project.Baadaye nikasema ngoja nijaribu tena,kwamba hakuna biashara isiyo na changa moto.Nilisikia sauti inaniambia jaribu tena utatoka mazima.Nikadhani ni Roho wa Mungu.Nika yahifadhi yale magunia yangu 40:Msimu ulipofika nikayauza na kuongeza tena na hela kutoka vyanzo vingine nikakodi tena shamba.niliingiza kam 4.5m this time.

Nikapata magunia 3 na debe 2. hayo nikapakia kwa kwenye train na mimi naikapanda zangu BINTI FOROGHO mpaka buguruni halafu, Wife aliniuliza mengine yako wapi.Namwambia ndiyo mavuno yote hayo.Nika conclude kilimo "USIPOKIJUA" ni "UMASKINI" uliobeba "KIFO".
Nataka nikakutulia niandike story yangu yenye kichwa "Jinsi nilivyo Nusurika Kuuawa na Kilimo"
 
Mkuu vipi uliandika hiyo stori?

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu kisima kizuri na chenye maji ya kutosha kwa kuweza kumwagilia hata eka tano ivi utafanya bei gani kwa hesabu ya haraka na kwa uzoefu wako
Hicho kisima kinachimbwa wap?(mkoa,wilaya na sehemu husika) Na urefu gan? (Mita ngap)
 
Back
Top Bottom