Natafuta shamba dogo Dar au Pwani kwa ajili ya ufugaji

Eneo wazo hill madale 1 acres 0.5km from road tshs 95m.
If you need call 0767010802
Thanks
 
Mkuranga kimanzichana _mbulani km 10 kutoka kimanzichana eka moja ni lak 5 upo ok?
Mkuu iko kiwanja vp naweza kukipata ase? Au tayari kishachukuliwa,kam n ivo naomb nisaidie kupata maeneo mengne huko ambpo wanauza viwanja au mashamb kwa bei nafuu.
 
Hapa ni pazuri, Kama mtu akihitaji mashamba maeneo ya Maneromango about 85km toka Gongo la Mboto anicheki nikuunganishe na Dalali. Ni kizuri Sana chochote kinastawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom