Mkuranga maeneo ya Kise ,Kimanzichana kuna maeneo ya kutoshea na bei zake ni nzuri.. heka moja ni kati ya 300,000 hadi 400,000
Kibaha maeneo ya kongowe pia unaweza pata maeneo ingawa bei zake zipo juu kidogo... heka inaanzia 3,000,000 ila inategemeana inaweza ikawa juu ya happ au ukabahatisha chini ya hapo.
Ila kwa ufugaji wa samaki itabidi usakafie maana udongo wake hasa kibaha sio wa mfinyanzi hivyo hautaweza kutuamisha maji kwaajili ya bwawa
Thanks kaka, hata mkurunga ni kuzuri. ni muda gani toka mbagala mpaka huko ?maana mimi njia hiyo nimeishia mwandege tu.
sawa nitakupm contacts zaoMama joe nami naomba msaada wako wa maeneo ya kule msata tafadhari..
,ulishapata mkuu,mimi ninalo maeneo ya Kiromo,kama bado unaitaji niPmOff topic, na mie dogo anatafuta shamba/kiwanja njia ya bagamoyo. Kuanzia Mapinga kuendelea Kerege, Zinga. Kiromo mwenye navyo au anaeyejua msaada please. Isizidi km 2 toka Bagamoyo rd.
Mkuranga maeneo ya Kise ,Kimanzichana kuna maeneo ya kutoshea na bei zake ni nzuri.. heka moja ni kati ya 300,000 hadi 400,000
Kibaha maeneo ya kongowe pia unaweza pata maeneo ingawa bei zake zipo juu kidogo... heka inaanzia 3,000,000 ila inategemeana inaweza ikawa juu ya happ au ukabahatisha chini ya hapo.
Ila kwa ufugaji wa samaki itabidi usakafie maana udongo wake hasa kibaha sio wa mfinyanzi hivyo hautaweza kutuamisha maji kwaajili ya bwawa
Mkuranga bei nafuu,na ardhi ina rutuba sana,inastawisha mihogo,nanasi,tikiti maji na machungwa,nina eneo huko,mwaka huu naanza kilimo cha mhogo na nanasi
MWANANCHI MUSOMMA sasa hapo ndipo utata unapoanzia hasa unaposema karibu na barabara, si unajua kuwa karibu na barabara ni hatari kwani wakati wowote Magufuri na timu yake anaweza kufika wakati wowote na unajua matokeo yake. Anyway, Kiparang'anda ni karibu na Kimanzichana au na Jaribu Mpakani? Ekari moja bei gani na maji yapo karibu?Morinyo kaka nitafute nikupe ekari 2 zipo mkuranga maeneo ya kiparang'anda La karibu NA barabara kwani nina ekari 15 ila nitakupa kwa bei nzuri tu naam namba yangu_+255 657 740 797/RAS AMANI..
,ulishapata mkuu,mimi ninalo maeneo ya Kiromo,kama bado unaitaji niPm