Natafuta shamba au kiwanja Mwanza/ Sengerema

Natafuta shamba au kiwanja Mwanza/ Sengerema

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Natafuta kiwanja au shamba eneo la Busisi / Kigongo feli Mwanza au upande wa kuelekea Sengerema.

Eneo liwe barabarani

Ukubwa wowote kuanzia nusu hekari hadi hekari 2.

-Eneo liwe barabarani linaweza kuwa na hati au halina.

-Linaweza kuwa limepimwa au halijapimwa.


Uaminifu ni muhimu malipo yatafanyika baada ya kujilidhisha na ma0tumizi ya aridhi halmashauri ma kijiji husika katkia yangu 0756200028.
 
Back
Top Bottom