Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,979
- 13,631
Sisi hatupeleki sokoni. Kuna wateja wanakuja toka Dsm, unampeleka bandani anachugua anaona wanamfaa. Tukiafikiana bei analipa anachukua mzigo wake..Hao nguruwe unawapeleka sokoni wakiwa na umri gani?!
Wanakuwa na uzito gani wanapoenda sokoni!!?
Soko kubwa ni Dsm.