Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,005
- 4,291
Na ndiyo kilipaswa kuwa cha kwanza....Siku hizi mambo yamekuwa hovyo sana..Jinsia Yako kwanza?
Inawezekana kabisa sema tu bongo bando la shida na watu wana mda mwingi wa kuchezea ndio maana una shangaaHuwa najiuliza sana unatumiaje mtandao kutafuta mweza? Ina maana hauonani na watu huko uliko au kwenye netowkr zako?
Hata nikienda Bar napata marafiki...daladala au bank......................
Mbeku Ngese nali mandeke.Una sound kama una makende bwashee?!!!🤔
Ana sound kama washamvunja mdada hawezi kuwa mkavu hivi bwasheeMbeku Ngese nali mandeke.
Kisaikolojia angekuwa mwanamke ange declare mapema ila ana Duo Citizeship kaona bora apige kimya.
Wenye hekima pekee ndio wanajua kuwa ni mtegoMtego huu
Ana sound kama washamvunja mdada hawezi kuwa mkavu hivi bwashee
😂😂😂Kiharage kinawasha sio... ? Huko mtaani kwako, sokoni , dukani, ibadan kwako hujaona karijali ka kukumwagisha maji ? Humu mitandaoni hapafAi...
Utapigwa tukio
😂😂😂Na wewe siku zingine si unawekwa lakini
unaweza kuta ni MafweleNatafuta rafiki wa kiume mwenye heshima, maelewano na nia nzuri. Nipo Morogoro, karibu tujuane na tujenge urafiki mzuri. 😊
Hahahaaa Baaaasiiiiiiiii.Kwisha 🤣
Tatizo wananzengo watakua washamuwahi huko PM.Mpaji Mungu unaitwa