Natafuta rafiki wa kike, mengine tutayajenga

Natafuta rafiki wa kike, mengine tutayajenga

Hiko kiti siwezi hata wanipe pesa kias gani..
Nipo tayari wanipige mawe ila tu nione uwepo wako humu una smile..

Unajua upendo kitu cha ajabu sana just imagine nikaacha na tabia ya mishangazi kisa kupenda...

Maisha haya yana siri ndefu mno naimani siku moja takua nasimulia humu jf jinsi gani maisha nimepitia mpaka sasa mwaka wa kumi katika ndoa
 
Hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 hii bange ulolamba leo ni hataaareeee
 
KWEMA WANAJUKWAA.

Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli.

Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni miaka 20 hadi 29. Mkazi wa popote nchini, elimu yoyote, kazi yoyote halali.

Natanguliza shukrani kwenu, nitafurahi kupata marafiki.
Ahsante!
Kwenye aya ya kwanza ungeongezea wasiopenda hela. Au pesa kwako sio tatizo?
 
Hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 hii bange ulolamba leo ni hataaareeee
Kupnda ni more than mjani 😂😂😂😂
UnWeza sema bange kumbe mwenzako kafata ukoko kakosa...

Ikabidi anunue unga ile apike
et ges ikawa inalia puu puuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom