Natafuta pikipiki used mkoani Kilimanjaro

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
550
Reaction score
1,020
Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer)
IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash japo anakaribisha maongezi kulingana na ubora wa Chombo
 
IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash
Kuna jamaa alikuwa anauza pikipiki 1.5M bado mpya ebu utafute huo Uzi.
 
Ongeza hapo 500k mpate byke ya maana sinoray au king lion namba C E ya mwanzo kabisa
 
Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer)
IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash japo anakaribisha maongezi kulingana na ubora wa Chombo
Humu zipo Nyingi tuu,nenda kwenye threat ya ujasiriamali!
 
Back
Top Bottom