pikipiki used

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kununua/kuimport pikipiki used kutoka China?

    Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD. Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010. Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki used mkoani Kilimanjaro

    Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer) IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash japo anakaribisha maongezi kulingana na ubora wa Chombo
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 nataka nichukue pikipiki used ya laki 5 halafu inayobaki nichukue dagaa wa kukaanga wa Mwanza niuze kwa rejareja na jumla

    Nilikuwa naomba ushauri wenu kwenye hiyo laki 9 nichukue pikipiki used ya laki 5 niifanye kama boda ya kuniingizia kipato alafu pia niwe naitumia kwenda kuuza dagaa sehemu mbali mali hasa hasa nyakati za jion sehemu zenye mzunguko mkubwa wa biashara. So nilikuwa naomba kipi nianze nacho kati...
  4. nipo online

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata pikipiki bora ya mtumba. Nipo iringa tafadhali naomba ujuzi

    wakuu msaada kwa wale wanaofahamu jinsi ta kupata pikipiki used ni model ya DH bk nipeni mbinu tafa
  5. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

    Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia pikipiki. Kimbembe wakati wa kurudi nisaidieni usafiri mzuri wa kuipakilisha pikipiki yangu TVS...
  6. Julius Husseni

    JamiiForums Tanzania Nina million na laki mbili, wapi napata pikipiki boxa used imara?

    Rasmi sasa kuna jamaa kanidodosa kua biashara ya boda inalipa kwahiyo nimeona nicheki upepo wa pikipiki boda. Mwenye connection ya boda nzuri kwa hiyo bei gani USINIAAMBIE NIJE PM SIJI Asanteni.
Back
Top Bottom