Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,342
- 201,603
Bado kidogo mzee baba pambana[emoji23][emoji23]
Najua sasa hivi, umeshapata K vant sasa ndiyo maana juzi hazard kafungwa 7
Bado kidogo mzee baba pambana[emoji23][emoji23]
Umechelewa mkuu[emoji1][emoji1].... Jamaa ashaSEAL the DEAL
That is true, una mke au una mpenzi tu?
8&10[emoji91][emoji91]
Most of men are sex maniac[emoji3518]Wanaume wengi mnajiendekeza tu
Najua sasa hivi, umeshapata K vant sasa ndiyo maana juzi hazard kafungwa 7
Hahaha safii..upo kweye raiti trakiiBado sijaoa, ila nikijaliwa nitafanya hivyo Mkuu
Hahaha always next time....Umechelewa mkuu[emoji1][emoji1].... Jamaa ashaSEAL the DEAL
Nafikiri tumjoin Marianah ........sababu mwisho wa siku mtalalaje chumba kimoja wote wanawake bila kutekenyana?Natamani ila nahofia mimi na wewe tunaweza kuwa siyo rika moja
Haahahhaa HALLA always to whom hustlesHahaha always next time....
Gundu kama la taifa stars
Bado sijaoa, ila nikijaliwa nitafanya hivyo Mkuu
Most of men are sex maniac[emoji3518]
Oohh basi huyo mkeo mtarajiwa atakuwa na bahati sana ninakuombea upate mke mwema na Mungu akubariki, Amen.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bichwa lako mimi hata sina mawazo hayo mimi nimeshaolewa ujue na bahati nzuri nimepata mume mwenye mitazamo kama yake ndo maana nimemsifia kwa kifupi huwa nawapenda sana wanaume wanaowaheshimu wanawake hivyo mkewe mtarajiwa atakuwa na bahati sana kumpata kama mimi nilivyo na bahatiHahahah hazard tumemtandika misumari..tuyaache hayo hako ka marianah kanaonyesha kakali mzee,, hembu tuwakilishe vyema[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe hebu ondoka hapo bar nenda home kalale hizo ulizokunywa zimeshatosha kwa leo khaaHahaha safii..upo kweye raiti trakii
Asante sana Mkuu, barikiwa na wewe pia [emoji120][emoji120][emoji120]
So in reality is a methodological thing to change this... Just accept the NATURE.Yeah MOST
Hapa ni ngumu kuondoka zinagongwa ngoma za ferre gola,jb mpiana hatariii sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe hebu ondoka hapo bar nenda home kalale hizo ulizokunywa zimeshatosha kwa leo khaa