Natafuta Paka

Mmmh! Paka hana mvuto kabisa, mi napenda paka ninayecheza naye.

Asante kwa ushauri. Bilashaka mwenye panya wake atakuwa amepata ushauri wako.
we unapenda wale paka wa kunya kwenye makochi na kwenye unga
 
we unapenda wale paka wa kunya kwenye makochi na kwenye unga
Paka ni matunzo na mafunzo, paka wangu alivyokuwa mdogo nilikuwa namwekea mchanga ndani kwaajili ya haja zake. Alivyokuwa akawa anamaliza haja mchana, na ikitokea akabanwa usiku atanisumbua mpaka nitaamka kumfungulia akafanye mambo yake nje.
Panya hakatizi, atamuua ila hamli.

Napenda sana paka kwa kweli, ila awe na mvuto na ninapenda nimchukue akiwa mdogo sana nimlee mwenyewe.
 
mama alileta paka home aisee anakunya ovyo daaah,, kuna siku alikunya kwny koch nikayakalia yananuka vibaya,, nasikitika nilichomfanya ndo ukawa mwisho wa maisha yake mama nisamehe r.i.p paka wake
 
mama alileta paka home aisee anakunya ovyo daaah,, kuna siku alikunya kwny koch nikayakalia yananuka vibaya,, nasikitika nilichomfanya ndo ukawa mwisho wa maisha yake mama nisamehe r.i.p paka wake
Jamani kwanini ulimuua? Mngemfundisha tu.
 
mama alileta paka home aisee anakunya ovyo daaah,, kuna siku alikunya kwny koch nikayakalia yananuka vibaya,, nasikitika nilichomfanya ndo ukawa mwisho wa maisha yake mama nisamehe r.i.p paka wake
Daaah.. Ulimtia kitanzi nn
 
Mwambie mwenye nyumba akurudishie kodi yako ukapange kwingine utaishije na panya ww binadamu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…