Mungu akufanyie wepesi upate aliye mwema.......Ila ikatokea mjeda ama eng akakosekana inakuwaje kwaheHabari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .
Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.
Nami ni muajiriwa Serikalini....
NakuombeaHabari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .
Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.
Nami ni muajiriwa Serikalini....
Wewe ni muilaki wa Mbulu au Karatu?Habari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .
Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.
Nami ni muajiriwa Serikalini....
Allahumma AMIIIINEngineer au mjeda sogeeni pande hizi....Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Haina shidaMungu akufanyie wepesi upate aliye mwema.......Ila ikatokea mjeda ama eng akakosekana inakuwaje kwahe
Sio Muiraq wala MbuluWewe ni muilaki wa Mbulu au Karatu?
Samahani lakini hilo jina lako limenifanya niulize
AMIIIINNakuombea
??sifa zakoHabari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .
Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.
Nami ni muajiriwa Serikalini....
Sie waendesha maguta hamtutaki na tupo na uaminifu %99.99Habari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .
Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi.
Nami ni muajiriwa Serikalini....
Kwa maelezo zaidi uje inbox tafadhal??sifa zako
Hata nyie mnakaribishwa but jeshi na engineer ni added advantages ha ha haaaaSie waendesha maguta hamtutaki na tupo na uaminifu %99.99
Kila la kheri bibie ukibadilisha sifa za hao wawili utucheki na kada zingeni jeshi hatukuendelea kukaa huko.
Kuwa mstaarabu basi...Una chura, narinda yapo au yametatuliwa, umeolewa au umeachika, mweusi au mweupe, mrefu au mfupi? Funguka mama
Mtoto ninae...na wala sioni shida kusema nina mtoto so wala sio mtego. Na niko proud kuwa mamaSema unatokea wapi watu wajue nasaba yako kingine kama una mtoto maana kuna mtego huwezi kumtaka mwanaume mweny umri mkubwa kiasi icho ukawa hauna mtoto
Malizana na baba wa mtoto wakoMtoto ninae...na wala sioni shida kusema nina mtoto so wala sio mtego. Na niko proud kuwa mama
😅😅😅Umeaga mashindanoMtoto ninae...na wala sioni shida kusema nina mtoto so wala sio mtego. Na niko proud kuwa mama