mkuu itabidi uje ulione ili uweze kunishauri bei maana ni eneo kubwa na lina nyumba pia
Ardhi ni mali, ardhi ni mtaji. Huna haja ya kumtafuta Mwarabu umuuzie eneo lako yeye ndiye aweke kituo cha mafuta, biashara ya mafuta siku hizi sio kwa Waarabu tuu, hata sisi Wabantu tunaweza.nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta MTU anaetaka eneo kwa ajili ya KITUO CHA MAFUTA nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo
Ardhi ni mali, ardhi ni mtaji. Huna haja ya kumtafuta Mwarabu umuuzie eneo lako yeye ndiye aweke kituo cha mafuta, biashara ya mafuta siku hizi sio kwa Waarabu tuu, hata sisi Wabantu tunaweza.
Ardhi ndio amali kubwa pekee isiyokwisha, hivyo tumia ardhi yako kama mtaji, badala ya kuuza kwa Mwarabu, nenda kampuni ya Total.
Angalia huyu mwenzako, naye alikuwa kama wewe ana kiwanja chake, sasa yeye ndiye mmiliki.
Maendeleo ya Kweli Yataletwa na Watanzania: Kampuni ya Mafuta ya Total Yazindua Kituo cha Kwanza cha Watanzania, Total Tegeta Service Station - JamiiForums
P
Neno Kuu.Ardhi ni mali, ardhi ni mtaji. Huna haja ya kumtafuta Mwarabu umuuzie eneo lako yeye ndiye aweke kituo cha mafuta, biashara ya mafuta siku hizi sio kwa Waarabu tuu, hata sisi Wabantu tunaweza.