Natafuta mwarabu wa kumuuzia eneo kwa ajili ya sheli


BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
81,987
Likes
121,314
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
81,987 121,314 280
Naona mbaguzi huyu hataki kumuuzia mmatumbi mwenzetu, mnunuzi wake lazima awe Mwarabu tu! Sijui Wamatumbi wamemkosea nini!
 
M

Mbonetronics

Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
13
Likes
0
Points
0
M

Mbonetronics

Member
Joined Feb 17, 2011
13 0 0
Hivi sielewi km akili zako zinakamata tbc au clouds! Kuuza eneo hadi mwarabu, au una biashara nyingine, weka wazi.
 
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
2,304
Likes
443
Points
180
Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
2,304 443 180
mimi nalihitaji kwa hiyo nipo natafuta mwarabu wa kumpa pesa ili aje alinunue kwa niaba yangu.
 
wapalepale

wapalepale

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
259
Likes
21
Points
33
wapalepale

wapalepale

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
259 21 33
Ukisikia Inferiolity Complex ndio hii! Kwa hiyo hata akitokea Mbantu mwenzio mwenye mkwanja unaohitaji wewe utakataa hadi ajitokeze muarabu??? Pole Sana.
ya elekea amefanya u beki tatu sana kwa warabu mpaka ametoka kwa hiyo anawakubali sana
 
Original Pastor

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
1,256
Likes
12
Points
135
Original Pastor

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
1,256 12 135
Iko mimi nunua bana veve, veve uza gapi? mimi Kanjubai kuba 4M taka kuja hapa na namba yako ya akaunti nikupe cheki veve sawa eeeh iko zuri veve
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,590
Likes
5,267
Points
280
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,590 5,267 280
Ninahitaji sana hilo eneo! Tatizo sina kigezo cha uarabu mi nimzaramo !
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,970
Likes
140
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,970 140 145
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta mwarabu anaetaka eneo kwa ajili ya sheli nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo
Check na Rostam Aziz
 
Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Messages
6,773
Likes
33
Points
135
Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2011
6,773 33 135
Itabidi ucheki na jamaa wa Dubai, Oman, Qatar
 
klorokwini

klorokwini

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
8,707
Likes
55
Points
135
klorokwini

klorokwini

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
8,707 55 135
msilembee madongo sana pengine mwamba yuko kislang zaidi, kuna zama flani "mwarabu" na "mshefa" ilikuwa inatumika kwa slang kumaanisha "tajiri" inawezekana mleta mada amekuja kislang, if that is not the case, mleta mada inabidi aonane na daktari wa akili kabla hajakuwa beyond repair.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,222
Likes
5,035
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,222 5,035 280
Wakati sisi tunajiandaa kuwatimua,wewe unawakaribisha waarabu wahindi!jiulize wewe waweza kwenda kwao kuweka shell?
 
Chuma Chakavu

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
1,524
Likes
6
Points
135
Chuma Chakavu

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
1,524 6 135
sio lazima mwarabu lakini mara nyingi warabu ndo watu wa sheli,

Husomeki! halafu inaelekea hujui biashara! sema unauza eneo fulani na kama una details zake ambatanisha ikiwezekana na bei tuambie, sio natafuta mwarabu nimuuzie eneo, kwani waarabu peke yao ndo wenye uwezo wa kununua? na hapo kwenye sheli nadhani unamaanisha ni petrol station, duu we wa wapi wewe? acha kasumba angalia usije nunuliwa na wewe!
 
Chuma Chakavu

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
1,524
Likes
6
Points
135
Chuma Chakavu

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
1,524 6 135
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta mwarabu anaetaka eneo kwa ajili ya sheli nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo

usilazimishe matumizi ya eneo kwa mteja kwani lazima aweke hiyo ''sheli''?
 
S

SAIDALI

Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
50
Likes
0
Points
0
S

SAIDALI

Member
Joined Nov 7, 2010
50 0 0
wewe lengo lake umesha lijua mbona unakurupuka na matusi ndg hatuendi hivyo.
sawa ndugu ila haipendezi kutukana kabila , labda angemuliza kwanini unataka mwarabu, binadamu wote ni sawa.
 
S

SAIDALI

Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
50
Likes
0
Points
0
S

SAIDALI

Member
Joined Nov 7, 2010
50 0 0
wakati sisi tunajiandaa kuwatimua,wewe unawakaribisha waarabu wahindi!jiulize wewe waweza kwenda kwao kuweka shell?
yaelekea hujatembea huijui dunia, mbona wazungu hujawataja? Au ndo unaogopa utakosa msaada pole zako
 

Forum statistics

Threads 1,250,501
Members 481,371
Posts 29,735,802