Natafuta mwarabu wa kumuuzia eneo kwa ajili ya sheli

kwa nini hutaki kuwauzia waafrica wenzako?au umewaona kuwa hawana uwezo wa kununua hilo eneo lako na kundesha hio biznez?
my compatriot, kwa nini unataka waarabu?who are they to you?what have they done to you?
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

this is very funny. Yaani unafanya biashara lakini mteja awe mwarabu ?? sijui kama JF kuna mwarabu.
 
Thanx issam, maana kwa kweli hawa watu walinishangaza making a fuss out of nothing hii ni sehemu ya matangazo strictly business na sio gossip na ushankupe especially kama ni mwanaume mwenye akili zako, ingekuwa wanawake ninge waelewa but hadi nyinyi!!!!!!!!!? na nilishatoa reason ya kutaka mwarabu nashangaa mtu anaandika eti mi mzigua halinihusu! sasa kwanini uandike kama hauhusiki!? hivi kumbe watu wa aina hii wana exist!! shame on you!......ambae anataka tufanye bussiness anitafute kwenye hiyo namba!
 
and people like are reasons why canned milk is not good for infants!! grow up!!
 
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta MTU anaetaka eneo kwa ajili ya KITUO CHA MAFUTA nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo
Ardhi ni mali, ardhi ni mtaji. Huna haja ya kumtafuta Mwarabu umuuzie eneo lako yeye ndiye aweke kituo cha mafuta, biashara ya mafuta siku hizi sio kwa Waarabu tuu, hata sisi Wabantu tunaweza.

Ardhi ndio amali kubwa pekee isiyokwisha, hivyo tumia ardhi yako kama mtaji, badala ya kuuza kwa Mwarabu, nenda kampuni ya Total.
Angalia huyu mwenzako, naye alikuwa kama wewe ana kiwanja chake, sasa yeye ndiye mmiliki.

Maendeleo ya Kweli Yataletwa na Watanzania: Kampuni ya Mafuta ya Total Yazindua Kituo cha Kwanza cha Watanzania, Total Tegeta Service Station - JamiiForums
P
 
Very logic...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno Kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom