Natafuta mwarabu wa kumuuzia eneo kwa ajili ya sheli


Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,665
Likes
5,564
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,665 5,564 280
Nenda google...andika mwarabu,wapo wengi tu!..
 
M

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Messages
4,509
Likes
963
Points
280
M

Malila

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2007
4,509 963 280
Hiyo barabara ya Mpiji imewekwa bikon(spelling please) mwaka juzi, hizo bikon zimekukwepa kweli au ndo yale yale mbuzi kwenye gunia? Maana wengi sasa hivi wanaingia mkenge sana ktk barabara hizo mbili ( Mpiji na hii ya Mbezi msakuzi) kuna bikon ziko ndani kidogo. Angalia kuna kilio.
 
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,840
Likes
14
Points
135
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,840 14 135
Hiyo ni biashara kataka mwarabu so haina haja kutoa mdomo wako
ndo mwarabu mwenyewe wewe sio? mbona unakuja juu sana? yes kakosea kusema anataka mwarabu, kwani anataka kuuza eneo au anataka mwarabu?
 
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
3,327
Likes
125
Points
0
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
3,327 125 0
Hii inatia mashaka,huyu sharobaro huenda anataka bash* wa kiarabu!!! sema bei,weka namba za simu-kwishnei!!
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,482
Likes
2,802
Points
280
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,482 2,802 280
Nahofia atatokea mwarabu halafu masharti yataongezeka kwamba awe mwarabu at the same time awe bash............aah nimesahau, bahashwan!
 
MARILYN

MARILYN

Member
Joined
Feb 23, 2011
Messages
96
Likes
2
Points
0
MARILYN

MARILYN

Member
Joined Feb 23, 2011
96 2 0
Ni PM bei! Pia unihakikishie document zake kama zipo Ok na sio hifadhi ya barabara
documents zote zipo barabara imeshapimwa na beacon mpya zimewekwa na zinaonekana vizuri tu, unaweza kuvisit enee
 
mwakichi

mwakichi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2011
Messages
419
Likes
23
Points
35
mwakichi

mwakichi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2011
419 23 35
hivi akil zako zina akil kwel we kiumbe..em heshim hata huyo baba ako mmatumbi bc
 
C

ccr airtel

Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
97
Likes
3
Points
0
C

ccr airtel

Member
Joined Mar 27, 2011
97 3 0
[acha ujinga wewe , kasema mwarabu kwa lengo lake, acha kutukana kabila wewe pumpavu wewe
yaani ulivyotukana umenikera natamani tungekua face to face nikuwashe makofi na utu uzima wako
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,050
Likes
11,374
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,050 11,374 280
Huyo mwarabu unataka kumuuzia kiwanja tu? au kuna yako mengine unayotaka kumuuzia ambayo unatuficha? we sema tu, wanunuzi wa 'hiyo' pia wapo
 
rosemarie

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
6,825
Likes
1,246
Points
280
Age
42
rosemarie

rosemarie

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
6,825 1,246 280
karibu ningekunakili vibaya,nilifikiri unatafuta mwarabu wa kuishi naye
 
IHOLOMELA

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
1,743
Likes
1,427
Points
280
IHOLOMELA

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
1,743 1,427 280
Huyu ana mawazo ya karne ya 18 kumtumikia Sultan
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,928
Likes
19,608
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,928 19,608 280
Dah! mimi nimechoka kabisa, lakini ndio uhondo wenyewe wa JF huu, lazima kuwe na kachumbari kidogo kunogesha jukwaa. asante sana mtoa mada maana umenisaidia kuondoa stress za maisha, maana nimecheka leo mpaka mbavu zinaniuma.
 
khauka

khauka

Senior Member
Joined
Jan 26, 2011
Messages
100
Likes
0
Points
33
khauka

khauka

Senior Member
Joined Jan 26, 2011
100 0 33
hii thread yako iandike tena, inamaana hakuna wengine wanaoweza kununua zaidi ya waarabu...
 
MachoMakavu

MachoMakavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Messages
369
Likes
1
Points
35
MachoMakavu

MachoMakavu

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2008
369 1 35
kaazi kweli kweli...haya bwana mimi ntamshtua mwarabu ninayemfaham uje umuuzie eneo lako
 

Forum statistics

Threads 1,251,868
Members 481,917
Posts 29,788,450