Natafuta mwarabu wa kumuuzia eneo kwa ajili ya sheli

MARILYN

Member
Feb 23, 2011
96
15
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta MTU anaetaka eneo kwa ajili ya KITUO CHA MAFUTA nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo
 
Kama wewe ataka mwarabu mimi hainihusu.................
Kwaheri
 
Sasa kila mtu mwenye ardhi akimuuzia mwarabu hii nchi si itarudi kwenye utumwa. Hapo serikali inabidi ingilie kati kwa kweli mambo kama haya
 
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta mwarabu anaetaka eneo kwa ajili ya sheli nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo

Taja bei yako mkuu?
 
Ukisikia Inferiolity Complex ndio hii! Kwa hiyo hata akitokea Mbantu mwenzio mwenye mkwanja unaohitaji wewe utakataa hadi ajitokeze muarabu??? Pole Sana.
 
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta mwarabu anaetaka eneo kwa ajili ya sheli nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo

Naamini una lako jambo hapa. Kwa nini mnunuzi lazima awe mwarabu? Huo ni ubaguzi wa hali ya juu. Labda kama kama kuna ya zaidi unayoyataka baada ya hayo manunuzi toka kwa huyo mwarabu. Tujuze
 
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta mwarabu anaetaka eneo kwa ajili ya sheli nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua mwarabu anae hitaji eneo basi tuwasiliane, donge nono lipo

umenishangaza, hivi wewe ni mtanzania kweli?......halafu unasema sheli? ni lazima iwe shell au hata Oryx, BP, Total, zitafaa?
 
umenishangaza, hivi wewe ni mtanzania kweli?......halafu unasema sheli? ni lazima iwe shell au hata Oryx, BP, Total, zitafaa?

Hivi kwanza kuna Shell Tanzania? Nafikiri waliondoka siku nyingi sana. Au kila kituo cha mafuta kinaitwa Shell?
 
mkwanja nnao ila mi 'dengereko, hun'taki mimi au hutaki hela yangu?
 
mkuu itabidi uje ulione ili uweze kunishauri bei maana ni eneo kubwa na lina nyumba pia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom