Natafuta mwanaume wa kunioa

Kuna wale wazee wa KATAA NDOA watakubeza ila usiwazingatie wasije wakakutoa kwenye reli
 
kwakweli umesema vema,ila matatzo mengine hayavumiliki ujue,,kutaka tufe wenzio 😆😆

Ukitaka mapenzi ya kweli vuta subra usitafute acha papara vizuri vinakuja tu na utasahau ujinga wa x wako, maana pupa upumbaza akili upoteza lengo na ujikuta chochote kije matokeo yake unaishiwa kumegwa na kudhalilishwa tu na kubaki na maumivu yale yale, mtoto wa mtu asikunyime raha iko hivi yupo anaefiti dunia yako so tulia atakuja
 
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi boss
Huyo Mungu ana wakati gani?

Huyo Mungu mbona ameshindwa kukupa mume muda wote huo hadi dakika za jioni unakuja kuhangaika JF kutafuta mume?

Huyo Mungu yuko nje ya muda kabisa.

Dakika za jioniiiiiiiiii!!!!!

Dakika za lala salamaaaa.

Chamechaaaaa!!!
 
Njoo madam.
 
Perfect perfect perfect 😍😍😍😍😍
 
sema hii nondo ilibidi niipate wakati nateseka na mapenzi,,saivi aaah ila sio mbaya nitaitumia siku zijazo
 
Mungu akujalie haja ya moyo wako.
 
sema hii nondo ilibidi niipate wakati nateseka na mapenzi,,saivi aaah ila sio mbaya nitaitumia siku zijazo
Bado muda upo watu wazuri duniani wapo ni swala la muda tu,alikutesaa anahisi huwezi ukapata mtu mwingine ila ukitulia unapata🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…