Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Wana JF, salam!

Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Solution ni kutafuta mtu wa kuchangia nae rent, anachukua chumba kimoja na mimi kingine.
Natafuta mwanaume mstaarabu. mwanafunzi au young professional,bachelor.

Mi mwenyewe ni mwanafunzi, naishi maisha simple, few parties, soft music.
Sivuti sigara wala bangi, kama atataka kuvuta sigara atavutia nje.
Napendekeza usafi, ila naweza kuvumilia desorder ya vitabu hapa na pale
Anaweza kualika wageni ila ni marufuku kuwapa rafiki zake funguo za nyumba

Nyumba yenyewe ina vyumba viwili, sebule, choo na jiko ndani,
ka garden ka kiushkaji, kana barbecue imejengwa na chimney yake
Nyumba ipo barabarani kabisa, karibu na maduka, kituo cha basi next door
Kama uko interested niambie hapa hapa, wana JF wanisaidie kuchagua

Kesho jioni, saa moja kamili kutakua na party kwenye hiyo nyumba
Wana JF wote mmealikwa, hasa valide candidates. Njooni na vinywaji
Hapo hapo ndipo mta-visit nyumba, na ikiwezekana tunamchagua THE roommate.


Mwali

PS: Nimeleta mada chit chat because it is just chit chat!

Hiyo nyumba ipo wapi? na je naruhusiwa kuleta demu wangu na kulala naye?
 
tehe tehe tehe.....mwanaume wa kuishi nae = roommate, kushare chumba au kila mtu na chumba chake?:violin:
 
mwali, ankal wako hajickí vzr do ze nidiful
 
Ngoja nisinzie hapa kwenye benchi la garden naona nimewahi sana kwenye party matokeo yake nimekunywa mwenyewe karibia nusu ya vinywaji nilivyoleta...
Naona watu hawana nia ya kukaa na Binti Mwali ngoja nisubirie leo mpaka nipate funguo ya chumba,cheque ya kulipia pango ninayo.
Kwa yeyote atakayefika niko benchi la huku backyard gizani niamsheni nisijepitiliza.
 
Hivi wapinzani wasipojitokeza si nachukua ushindi wa mezani...Namalizia vinywaji vilivyobaki then kesho nakuja na mzigo yangu tayari kuhamia kwenye jumba letu.
 
Hivi wapinzani wasipojitokeza si nachukua ushindi wa mezani...Namalizia vinywaji vilivyobaki then kesho nakuja na mzigo yangu tayari kuhamia kwenye jumba letu.
Sorry sikuonekana kwenye party nilio alika mwenyewe
Naona wewe ulikaa muda wote huu, pole sana
Ila usijali, nadhani hapo in bold ni sahihi kabisa
Chukua funguo zako, kesho leta mizigo.
YOU ARE MY NEW ROOMMATE 🙂
 
Sorry sikuonekana kwenye party nilio alika mwenyewe
Naona wewe ulikaa muda wote huu, pole sana
Ila usijali, nadhani hapo in bold ni sahihi kabisa
Chukua funguo zako, kesho leta mizigo.
YOU ARE MY NEW ROOMMATE 🙂

Thanx roommate..
 
mwali, ankal wako hajickí vzr do ze nidiful
Pole Uncle, leo hata mimi sikua sawa... I am glad you came!
hivi umeambiwa na nani kua niko hapa? Ni Husninyo? Au Anti?
Karibu chai Uncle. May I join you?

tea_and_cake.jpg
 
nasikia umetoswa na Canta ni kweli?
Mtaa mzima wanasema hivyo.
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Jaman mbona watu mna majungu kiasi hiki?
Kwan nyie hamjui mimba changa zinavozingua jaman!!
Yani siku 2 tu sijapita humu kichefu chefu kinanisumbua tayari mshaanza kuvumisha!
Mie na mume wangu rejao hatujaachana tunaendelea kuponda raha na tunatarajia kupata mtoto soon!!!
 
Familia ya Rejao hamjambo??
Canta mzima?
Mmepotea sana
Sie wazima kbs B52,
Sema tu hii hali sijaizoea ni ngeni kwangu inanizingua kidogo,
Ndio maana saa ingine hamnion hapa!

Mzima ww lkn?Amy hajambo pia?
 
Sie wazima kbs B52,
Sema tu hii hali sijaizoea ni ngeni kwangu inanizingua kidogo,
Ndio maana saa ingine hamnion hapa!

Mzima ww lkn?Amy hajambo pia?
Pole na bd miezi nane ee
Lol pole...
Amy hajambo yuko anamuandalia Angel msosi...
 
Back
Top Bottom