Natafuta mwanaume Dodoma

Njoo chap inbox mie niko Dodoma hapa ni muuza majeneza maarufu halafu nna hela za kutumia na wewe wahi fasta kabla hujachelewa
Kwani mimi sina hela, hv wewe huumwi kweli? Hela nilizonazo zinanitosha sihitaji pesa
 
Kipa hayupo golini . Mamende mnakaribishwa. Papai hili likiwa kwenye moja na mbili lina IDs kadhaa humu ndani
Acha makasiriko na wewe, IDs za nini? Ili iweje shoga angu? Mbona una wivu?? Punguza mihemko tafuta pesa
 
Bado hujazidiwa. Ukizidiwa utatafuta hata Ntwara mwanangu. Mapenji hayachagui
 
Njoo in box
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…