umetoa wapi?Pesa ipo n ww tuu
Mnajipeleka wenyewe hakuna anayewapeleka!Duh kazi ipo mnatupeleka speed sana...
πππ makubwaa!! LolWote wameokoka,wanatafuta ambao hawajaokoka kuongeza idadi ya waumini kanisani
Haki ya Mungu dogo, unatafuta kuchapwa fimbo kwa lazima sasa sio?Nasema acha bangi dogoπΉπΉ
Nmeiba πumetoa wapi?
Kamati ya roho mbaya
Try meπΉπHaki ya Mungu dogo, unatafuta kuchapwa fimbo kwa lazima sasa sio?
Mambo si ndo haya sasa mpenz wangu π . Nichumu mpenz wangu πNiko serious sanaπ«’
Duhhh, au ulimwambia ndo unajitafuta??Ah mchukue tuu mkuu, mm nmemshindwa π
Bahati nzuri unaongea kuwa Umshikili viatu unajua tu nikisema nibadilike hakuna rangi utaacha kuionaTry meπΉπ
Hapo safi! Nicheki leo tukale k/moto!Nmeiba π
Na watu waliowazidi maendeleoDuh aise π Aya bhana ndio kamati inayodeal na nini?
Muaahh!!ππMambo si ndo haya sasa mpenz wangu π . Nichumu mpenz wangu π
Umefunga pm sasa πHapo safi! Nicheki leo tukale k/moto!
Ndio, ety ndo mana Akanikataa, anadhani hata mbuyu uliibuka hvy hvy na huo ukubwa wake wakat ulianza kama mchicha πDuhhh, au ulimwambia ndo unajitafuta??
We shenzi pm yanini sasa unamuogopa nani? Hebu toa location mimi nianze safari!Umefunga pm sasa π
Tatizo watakuja fisi wengine πWe shenzi pm yanini sasa unamuogopa nani? Hebu toa location mimi nianze safari!
Hawawezi utaniona tu kafupi kama mitungi miwili afu kaneneee keusi, code hiyoπTatizo watakuja fisi wengine π
Kafie mbele huko, usije ukaniloga πHawawezi utaniona tu kafupi kama mitungi miwili afu kaneneee keusi, code hiyoπ