Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

Jenga mwenyewe!atakuletea matatizo TU na misongo ya mawazo!we tafuta wa kutuliza mzuka tu!
Hawaaminiki,vigeugeu hasa vikisha shika pesa ndio matatizo yanaanza!!
Hakuna sehemu sahihi, hii ya kutuliza mzuka nimefanya sana nayo changamoto Bado ni kibao, nataka nijaribu na upande huu
 
Back
Top Bottom