Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

Kwahiyo hutaki kuoa ila unataka kulelewa watoto wako au sio?,.

Ajiri dada na shangazi zako kama huko kwenu house girls hawapatikani
 
Watoto ndo wana umri kuanzia 27 mpaka 35 au 😆
Umechaanganya hapo hajaweka koma, ila amemaanisha umri waa huyo Beki 3 uwe kuanzia miaka 27 hadi 35 ndio anaona anamfaa kumlelea watoto wake yaan yeye kashatimiza malengo ya kuzaa sasa hana mtu wa kumlelea watoto, mimi ningemshauri awapeleke tu kwa Bibi yao
 
Nlikua napiga Jobo hapa, nikaona mbona watoto teyari ni watu wazima. Kila lakheri mkuu subaibat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom