Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

Angekuwepo ningefanya hivyo
Wapeleke kwa Shangazi au Mama zako wakubwa au wa Dogo usimpe mtu watoto wako akutunzie ikiwa humjui vizuri miaka 27/35 huyu mtu ana mambo mengi sana amepitia unaweza ukawa unawaweka watoto wako karibu na mchawi mmoja mmbobevu kua makini
 
Mdada wa kazi yupo @ Sasso, nahitaji mke
Ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwalea watoto ambao si wao. Usikurupuke maana mwingine anaweza kuja kwa ajili ya kujisitiri yeye na sio kwa lengo lako la kuwalea watoto.
 
Wapeleke kwa Shangazi au Mama zako wakubwa au wa Dogo usimpe mtu watoto wako akutunzie ikiwa humjui vizuri miaka 27/35 huyu mtu ana mambo mengi sana amepitia unaweza ukawa unawaweka watoto wako karibu na mchawi mmoja mmbobevu kua makini
Naunga hoja ya mdau hii hapa
 
Ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwalea watoto ambao si wao. Usikurupuke maana mwingine anaweza kuja kwa ajili ya kujisitiri yeye na sio kwa lengo lako la kuwalea watoto.
Huyo huyo beki 3 alienae hapo anaweza kumfanya akawa mkewe kwani yeye ana mapungufu gani?
 
Kila la kher kaka ila humu sio sehem sahihi Kwa Sasa maana watu watakuja kukukebehi na kukudhihaki tu Bora ungetafuta maeneo mengine watu hawana busara kwenye kujibu ama kutoa mawazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom