Kwaiyo Aendelee na bakari nondoNashauri aendelee tu kujichukulia sheria mkononi (nyeto) .....
Wee jamaa pmoja na mshahara wa mil17 unashindwa kupata mbususu huko mtaani🤣🤣🤣🤣🤣Habari wana JamiiForums.
Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.
Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.
Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.
Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.
Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
Nakaziaww jamaaa huna pesa ndo maana umeongea issue ya tegemezi nachokushauri tafuta pesa hakuna k za bule
Wee jamaa pmoja na mshahara wa mil17 unashindwa kupata mbususu huko mtaani🤣🤣🤣🤣🤣
Mapito ya zamani hayo mkuu, angalia thread ya lini hiyoWee jamaa pmoja na mshahara wa mil17 unashindwa kupata mbususu huko mtaani🤣🤣🤣🤣🤣
Ah so sasa wee sii ulisema kuwa ulikuwa unapanda mshahara kidogo kidogo sasa this is one year back so by then ulikuwa mayb kwenye mil 9.Mapito ya zamani hayo mkuu, angalia thread ya lini hiyo
Tunatofautiana sana mkuu, mimi mara nyingi huwa "rough" hata ukiniona hauwezi kuaminiAh so sasa wee sii ulisema kuwa ulikuwa unapanda mshahara kidogo kidogo sasa this is one year back so by then ulikuwa mayb kwenye mil 9.
Bro women can sniff a man with monwy from 100 miles...yaani wanajileta wenyewe tuu
Ata uwe rough kivipi ukiwa na hela mademu wanajua na wapo tayari kukupa mbususuTunatofautiana sana mkuu, mimi mara nyingi huwa "rough" hata ukiniona hauwezi kuamini
Legeza sasa makubaliano tumsaidie kazi huyo mchumba permanent....
Ata uwe rough kivipi ukiwa na hela mademu wanajua na wapo tayari kukupa mbususu
Naaam sheikhKwaiyo Aendelee na bakari nondo
Wanawake wa starehe wapo wengi ban mtaani hach kutuchora si twatak ndoaHabari wana JamiiForums.
Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.
Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.
Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.
Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.
Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
Mimi hela yangu huwa haitoki kirahisi mkuu... Kwanza nusu ya salary huwa inakatwa automatically kwa standing order na kuwa deposited kwenye akaunti ya malengo ambayo sina access nayo ya haraka. Mimi ni mtu wa bajeti na mipango mingi sana, inawezekana hiyo pia ikawa ni sababu.Ata uwe rough kivipi ukiwa na hela mademu wanajua na wapo tayari kukupa mbususu