Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Habari wana JamiiForums.

Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.

Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.

Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.

Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.

Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
Wee jamaa pmoja na mshahara wa mil17 unashindwa kupata mbususu huko mtaani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mapito ya zamani hayo mkuu, angalia thread ya lini hiyo
Ah so sasa wee sii ulisema kuwa ulikuwa unapanda mshahara kidogo kidogo sasa this is one year back so by then ulikuwa mayb kwenye mil 9.
Bro women can sniff a man with monwy from 100 miles...yaani wanajileta wenyewe tuu
 
Tunatofautiana sana mkuu, mimi mara nyingi huwa "rough" hata ukiniona hauwezi kuamini
 
Ata uwe rough kivipi ukiwa na hela mademu wanajua na wapo tayari kukupa mbususu

Hii kitu inanishangaza sana, hata upige pamba Kali vipi, kama hauna pesa unaonekana tu.

Vibaka Wana hii teknik, Kuna siku nipo posta Jumapili nilisahau kwamba bureau exchange hazifanyi kazi, nilipokea kuibiwa ila kilichonistaajabisha, nilikua na malapa, t shirt simple sana, sema ka bag kadogo kama kakuwekea vitabu kulikua na USD kama 10k, Sasa nilishangaa kuanzia dereva tax ananisemesha kiingereza pale karibu na jamaa fast food, nikamwambia mie mtanzania...hapo hapo Mwamba mwingine akaniambia we can change dollar very good rate, siku mjibu kitu. Baadae niliingia 18bzao karibu na habari maelezo, nilivyoponea chupuchupu nikiwahadithia watu wanasema ilikuaje ukachomoa? Hao jamaa ukiingia kwao lazima ulizwe.

Maelezo mengi ila nilikua nakazia hata uwe rough kama umebeba pesa hata mwendo na mdundo utaonyesha tu bila hata wewe kujua.
Ndio maana Trump anakwambia alikua alienda kuongea na watu kuhusu Dili za pesa lazima aweke USD 5,000 mfukoni hata kama hautumii na ndio iliyobaki kwenye akaunt yake, kuibeba unampa confidence
 
Habari wana JamiiForums.

Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.

Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.

Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.

Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.

Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
Wanawake wa starehe wapo wengi ban mtaani hach kutuchora si twatak ndoa
 
Ata uwe rough kivipi ukiwa na hela mademu wanajua na wapo tayari kukupa mbususu
Mimi hela yangu huwa haitoki kirahisi mkuu... Kwanza nusu ya salary huwa inakatwa automatically kwa standing order na kuwa deposited kwenye akaunti ya malengo ambayo sina access nayo ya haraka. Mimi ni mtu wa bajeti na mipango mingi sana, inawezekana hiyo pia ikawa ni sababu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom