Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Miaka 33 Nilikuwa ninamiaka 12 kwenye kazi Private sector.nilikuwa na mke na watoto wawili wenye miaka sita.....Sikuwa na muda wa kuchezea Kwa umri huo
 
Nadhani atakua bado....

Ila hizi mambo za kujificha na new id zinatukosesha fursa, usikute huyu shemela ni mwamba flani ninaemuelewaga kinoma hadi natamani aseme suuuu....sasa hii sijui ndio yeye sijui siye!
Kkkkkkkkk dah natamani nicheke kwa voice note umetisha dadake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom