Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Mi nakunyanyasa na nini tena.....Mkuu unaninyanyasa kweli kweli. Mimi ni mtu mkimya sana na mtaratibu kiukweli. Mtu wangu permanent yuko Mwanza huko. I really wish ningeweza kupata mdada ambae tungepeana raha tu na kuenjoy maisha kunipunguzia upweke bila kuwa na future expectations za mahusiano permanent.