Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Habari wana JamiiForums.

Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.

Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.

Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.

Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.

Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
Fungulia mbwa inaitwa hii na ndio njia rahisi maana lasivo ni maumivu wape offer elekezi tafuna mbususu wasepe

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Habari wana JamiiForums.

Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.

Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.

Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.

Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.

Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
Waekee offer mezani kabisa maana kwao ni ajira siku izi kuanzia stage performance mpaka kutua mbususu

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom