Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Duh...kwajinsi mwamba nilivyomwelewa hayonmambo yatazungumzika wakikutana..mapenzi ya kulipana hakunaga heshima wala hisia...kuna watu ukikutana nao jins mnavyoongea na mkaclick unajikuta unapewa hata usichostahili..hayo ndo mapenzi...ss akitaja hapa hata dame akipatikana ngumu sana kuclick
Ishu ni maelewano tu bila kujali mmekutania wapi, mnaweza kukutana hata humu na mka click vizurk tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom