natafuta mwanamke tasa awe concubine wangu

natafuta mwanamke tasa awe concubine wangu

awe mnene itakua nzuri zaid so mwenye dada au ndugu wa ivo anikonect

Na wanao wa kike utakaowazaa na wawe tasa ili nao watafutwe na wanaume malaya na wazinzi kwa kuwa kazi yao ni kutumiwa tu kama wheeelbarrrow la ujenzi bila kuzaa. Huna adabu na heshima wewe. Tena naomba na wa kiume utakaozaa wawe hanithiiiiii ili wasichezee wanawake tasa. Aisee mimi ni mwanaume ila chuki yangu kubwa ni kuona nwanamke anadhalilisha. Laana kubwa wewe. Na moderator thread kama hizi za udhalilishaji mnaziacha za nini? Hebu wekeni heshima ya JF ilivyokuwa 2007 nilipokuwa nasoma kama guest kabla sijajiunga na ile Jambo Firum nilikuwa member and it was powerful na respectable na tulikuwa na watu wazito member ndani yake. JF ya leo imebadilika sana na wanaojiunga niseme wengi ni hawa type ya facebook.
 
Kwani thread hizi huwa mnaanzisha mkiwa wapi?Una tatizo gani mkuu?Umeoa kwa kulazimishwa?
 
unataka kumfanya nini dada wawatu???mweeee, kwenda zako huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom