Natafuta mwanamke Mbeya mjini

BumbleBeeBot

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
281
Reaction score
440
Mi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu.

Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani mwenyewe.

Awe sehemu za mbeya mjini, mi nipo pembeni kidogo ya mji.

Kama utakuwa interested nicheki kwa meseji inbox tujuane vizuri.

Ahsanteni.
 
Kama sikosei Mbeya ni ya tatu Kitaifa kati ya mikoa inayoongoza kwa HIV/AIDS!
Huo ndiyo ujumbe wa Leo!
Mbeya bhana nilpata mwanamke juz kat hapo anapenda ngono balaa,ye ndio alkuwa ananisumbua sana mara ya kwanza now amepoa, juz kat hapo naongea na rafiki yake ananiambia yaani hapo shemeji ndio ushachezewa, rafiki yangu namjua, kashakutumia kakuacha. Nilichoka
 
Eeh mkuu we ndo umechezewa tena hao wanawake wa mbeya sio watu wazuri aisee
 
Usije kujichanganya ukachukua Jinsia ya kike hapo Mbeya carnival, ama uhasibu!

Hao wa hapo hawafai! Hata kwa one night stand!

Hapo Tafuta Demu Tu...ila kama ni Mwanamke...Nenda
Katafute Tukuyu, Kyela, ama Rungwe
 
Usije kujichanganya ukachukua Jinsia ya kike hapo Mbeya carnival, ama uhasibu!

Hao wa hapo hawafai! Hata kwa one night stand!

Hapo Tafuta Demu Tu...ila kama ni Mwanamke...Nenda
Katafute Tukuyu, Kyela, ama Rungwe
Kaka ishu wanawake wengi wagawaji sana, yaani wanazungisha ile mbaya. Kila nikipata napataga wa dizain hiyo, ni wale mnakutana tuu sehemu mnatongoza, alafu kibaya pia nawaambiaga mi nina familia nilipotoka, shortly nataka mwanamke ambae nitakuwa nae sio kwa siku moja au mbili ila nataka wa kunisogeza mpk nilete familia yangu huku, labda mwaka mbele.
 
Eeh mkuu we ndo umechezewa tena hao wanawake wa mbeya sio watu wazuri aisee
Oya kaka dah nilijiskia vibaya kinoma yaani. Mwanamke ananiambia ah shemeji ushachezea we fanya mambo yako, alafu mwanamke nikimchek tunabonga fresh ila kuonana changamoto sasa hivi, sababu kibao. Najiona fala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…