Natafuta mwalimu wa kunifunza kiarabu

Mimi na wewe tena? si tutadanganyana tu, maana wote wanafunzi? Nimeongea na Mkuu mmoja hapa jamvini, Kasema tupo wengi kumbe. Tunataka kuanzisha thread kule jukwaa la lugha. Karibu.

ila mimi nimesoma principle za kufundisha lugha ya pili. Role ya mwanafunzi v/s mwanafunzi ni kubwa na yenye umuhimu wa aina yake mu-language learning...
C'moon!
 
ila mimi nimesoma principle za kufundisha lugha ya pili. Role ya mwanafunzi v/s mwanafunzi ni kubwa na yenye umuhimu wa aina yake mu-language learning...C'moon!
Wala mi sijabisha kua interaction itatusaidia sote, ila nadhani tukianzishiwa hiyo thready ya kujifunza kiarabu tutapata nafasi tosha ya kujichanganya. Au we ulitakaje labda?
 
Wala mi sijabisha kua interaction itatusaidia sote, ila nadhani tukianzishiwa hiyo thready ya kujifunza kiarabu tutapata nafasi tosha ya kujichanganya. Au we ulitakaje labda?

swali gumu sana kujibiwa hapa mu-thread.
Hebu tukutane kwenye hiyo thread yetu, though sijaiona mpaka sasa.
Hadha halua khaif fashah...
 
Nipo tayari. Unataka kuanza lini?
Hata leo kwa kweli. Mi niliona labda Mwalimu uanzishe thread na somo moja kwa siku toka kwako, huku wanafunzi tunauliza maswali na tunafanya mazoezi pale pale thread au kwa PM itakua sawa...
 
Habari wana JF...
Ninatafuta Mwalimu wa kike au wa kiume wa kunifunza kusema kiarabu cha kawaida (sio cha dini, sio cha biashara wala academic).
Mi mwenyewe ni mtu napenda sana kujichanganya, niko active SANA kupitia PM ila somo likiendelea tunaweza kubadilishana contacts zingine. Pia nina kichwa chepesi cha kujifunza lugha, ingawa sijui lugha yoyote ya ki- Semite.
Asanteni

Unataka kuifanyia kazi gani mbona ckuelewi. Nashut down
 
Hata leo kwa kweli. Mi niliona labda Mwalimu uanzishe thread na somo moja kwa siku toka kwako, huku wanafunzi tunauliza maswali na tunafanya mazoezi pale pale thread au kwa PM itakua sawa...

OK ntatazama njia nzuri ya kufanya na ntawajulisha hapa hapa.
 
OK ntatazama njia nzuri ya kufanya na ntawajulisha hapa hapa.
Nadhani haina haja ya kufunguwa nyuzi mpya, katika kutazama nimekuta kuna website inayofundisha kuanzia mwanzo kabisa (alphabets), ntawapa link hapa chini na kama kuna swali lolote, utauliza.Anzia hapa, panajieleza na kama kuna tatizo nifahamishe:Free Arabic Language Course, Learn Arabic, Arabic Tuition
Asante sana Faiza Foxy. Nimeenda pale na nimeona inasaidia zaidi kusoma na kuandika. Mi sina shida hiyo, naweza kukisoma kiarabu (japo kw shida kidogo) ila sielewi ninacho kisoma hadi nipewe tafsiri. mi nataka kile kiarabu cha "Maismuka"? yaani spoken arabic.
 
Nilikuwa naongea kiarabu kuliko King Fahad wa Saudia, waswahili wameniloga, sasa hivi hata nikitukanwa kwa kiarabu mimi nazani ni wimbo wa taifa wa Iraq tu.

Waswahili wana choyo sana.
Mungu atanilipia
 
Nilikuwa naongea kiarabu kuliko King Fahad wa Saudia, waswahili wameniloga, sasa hivi hata nikitukanwa kwa kiarabu mimi nazani ni wimbo wa taifa wa Iraq tu.Waswahili wana choyo sana. Mungu atanilipia
Basi na wewe njoo tusome wote.
 
Nilikuwa naongea kiarabu kuliko King Fahad wa Saudia, waswahili wameniloga, sasa hivi hata nikitukanwa kwa kiarabu mimi nazani ni wimbo wa taifa wa Iraq tu.

Waswahili wana choyo sana.
Mungu atanilipia
ebanae?
hata ulaya hapana pata namna hii!
 
Asante sana Faiza Foxy. Nimeenda pale na nimeona inasaidia zaidi kusoma na kuandika. Mi sina shida hiyo, naweza kukisoma kiarabu (japo kw shida kidogo) ila sielewi ninacho kisoma hadi nipewe tafsiri. mi nataka kile kiarabu cha "Maismuka"? yaani spoken arabic.

Vizuri sana, tutafika lakini kula na mazoezi ya kukisoma itakuwa rahisi sana kwako kukielewa, kumbuka anaeongea Kiswahili ni rahisi sana kwake kukielewa Kiarabu kwani kuna maneno mengi sana yana fanana, nakusihi endelea kula zoezi la kusoma na mimi ntaanza kukupa zoezi la maneno, ikiwa utasoma basi utapata kuyatamka hayo maneno vizuri. Na ile website niliyokupa ina fundisha "vocabulary" matamshi, na ukibonyeza neno au harufi utalisikia linavyotamkwa. Nakusihi ipitie hiyo website na ule mazoezi japo nusu saa kwa siku, maneno ni myepesi sana kuyaandika na ukiyajuwa kuyatamka utapata wepesi zaidi.
 
Asante, nitafanya hivo. Nasubiri basi uanzishe huo uzi.
 
Back
Top Bottom