Natafuta mwalimu wa darasa pili

Natafuta mwalimu wa darasa pili

Habari za jioni?

Shule ya msingi ya binafsi ya Kiingereza iliyopo Tanga mjini inatafuta mwalimu mzoefu wa kufundisha darasa la pili.
Awe za uzoefu na ari ya kupenda kufundisha watoto wadogo.

Tunapendelea zaidi akiwa mwanaume,japokuwa hata wa kike anaruhusiwa kuomba nafasi hii.

Mawasiliano ni PM
Cc johnthebaptist
 
Weka email address watu watume maombi ya kazi na CV zao. Unawekaje Tangazo la kazi kama biashara ya MAGENDO. (kama wauza Potassium wanaweka hadi namba, wewe Professional unashindwaje).

Kuwaita watu PM ni Utapeli, vilevile zama hizi za Utekaji ni hatari.

Ukizingatia hata Jina la Shule tu Hujataja kwenye bandiko lako.

Be Professional.
infotanzaniaa@gmail.com
 
Back
Top Bottom