Natafuta mume

Natafuta mume

Ww si mke wako or your girlfriend yupo 100% perfect sasa nini unahangaika na mim.?sijifichi makucha yangu to get a man..he has to know the real me..kama nipo immature as you say na stupid..ni maamuzi yake kuamua..to deal wth it..Watanzania mna penda mambo ya kujipretend siko hvyo...i am who i am.!

APOLOGIES…APOLOGIES…PLEASE
Naomba ku apologise kwa dada salama jay na wana jamii forum wote kwa ujumla kuhusu posts zilizokua zikitumwa kupitia akaunti yangu ya JF
..napenda kuwaambia aliyekua akituma hizo post hakua mimi ila kuna mtu aliomba kupost mambo yake na hakua na akaunti nikamruhusu atumie ya kwangu kupost lakini baada ya kupost ndio akaanza kutoa na comment harsh na sio mara moja nimekua nikiitumia jf kwa muda na imenisaidia kwenye masuala ya kiteknolojia na kielimu na sina kabisa tabia ya kutoa comment za kejeli au matusi japokua huwa najibiwa kwa jejeli sometimes lakini huwa si respond hata ukiangalia posts zangu, kejeli na matusi hufanya hii site kuonekana ni ya majungu na ya kijinga badala ya site nzuri ya kusaidiana,….thanks
 
apologies accepted.!
 
Nitafute mimi, Salama naomba uwe serious kwa hili. Hata kama umepata plz reply back
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life..I need a serious man..

Am 23,

Mhaya na ni mnene kidesign..

Shepu ya kihaya to be precise..

Ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!

Imight not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man..

Kazi kwenu serious men..PM me..
 
Kumbe unatafuta serious mEn..?!! nilidhania unahitaji a serious mAn. Nishaghaili and I seal the deal. Iyo njia-kuu itakuwa na foleni sana, mwishoe nami nitaishia kwenye michepuko bure. akhuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom